wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

MASWALI MSETO

Total questions: 15

Worksheet time: 45mins

Name
Class
Date
1.

Kijakazi ni nani?

a)

Mfanyakazi wa kumtunza mtoto

b)

Mfanyakazi wa nyumbani wa kike

c)

Mfanyakazi wa kufua ana kupiga nguo pasi

d)

Mtu anayefanya kazi ya kubeba mizigo

2.

Kati ya hawa watu ni yupi ambaye hafanyi kazi katika chombo cha majini?

a)

baharia

b)

kuli

c)

nahodha

d)

hamali

3.

Andika wingi wa sentensi hii: KULI ALIUBEBA MZIGO MZITO

a)

Makuli waliibeba mizigo mizito

b)

Wakuli waliibeba mizigo mizito

c)

Kuli walizibeba mizigo mizito

d)

Makuli walizibeba mizigo mizito

4.

Ni ni ukubwa wa neno NDOO

a)

jindoo

b)

madoo

c)

kidoo

d)

doo

5.

Kanusha: MAMA ATAPIKA WALI NA ALE.

a)

Mama hatapika wali wala asile.

b)

Mama hatapika wali wala hatakula.

c)

Baba hatapika wali wala hatakula.

d)

Baba hatapika wali wala ateme.

6.

Andika tarakimu kwa maneno: 850542

a)

Nane elfu, mia tano na tano na arubaini na mbili.

b)

Milioni nane, hamsini elfu, mia tano arobaini na mbili.

c)

Laki mia nane, hamsini elfu, mia tano arobaini na mbili

d)

Laki nane, hamsini elfu, mia tano arobaini na mbili.

7.

Majina yafuatayo ni visawe. Ni sehemu ya ndani ya mwili ambayo hutakasa ama kusafisha damu. Gani halifai kuwa katika orodha?

a)

ini

b)

buki

c)

nso

d)

figo

8.

Jibu salamu hizi: CHEWA?

a)

ewaaa!

b)

sadakta!

c)

chewa!

d)

binuru

9.

Wanawake wawili au zaidi walioolewa na mume mmoja wataitana vipi?

a)

mnuna

b)

wifi

c)

mitara

d)

mkemwenza

10.

Ikiwa leo ni Jumamosi, je, juzi ilikuwa siku gani?

a)

Jumapili

b)

Ijumaa

c)

Alhamisi

d)

Jumanne

11.

Ni nomino ipi isiyopatikana katika ngeli ya LI-YA?

a)

jua

b)

jiwe

c)

jino

d)

jiko

12.

Nomino MUNGU na MIUNGU ni za ngeli zipi mtawalia?

a)

A-WA

A-WA

b)

A-WA

U-I

c)

A-A

A-WA

d)

A-A

U-I

13.

Chagua wingi wa ukubwa wa sentensi hii: MTOTO MDOGO ALIUMWA NA NYOKA MKUBWA.

a)

Watoto wadogo waliumwa na nyoka wakubwa.

b)

Matoto madogo yaliumwa na majoka makubwa

c)

Toto dogo liliumwa na joka kubwa

d)

Vitoto vidogo viliumwa na vijoka vikubwa

14.

Mtoto wa sungura huitwa nani?

a)

kituju

b)

kipura

c)

kinyemere

d)

kiluwiluwi

15.

Chagua sentensi ambayo imetumia kiambishi - ki- kuonyesha masharti

a)

Alipofika nyumbani, alinipata nikisoma.

b)

Bwana Simba alitembea kijeshi alipoingia darasani.

c)

Kijiatu cheusi kimepotea.

d)

Ukitaka cha mvunguni, sharti uiname.