WorksheetsKiswahili
Total questions: 20
Worksheet time: 32mins
Tegua kitendawili : Daima namsikia tu lakini simwoni.
(a)
Kanusha:Angalisoma Kwa bidii angalipita mtihani.
(a)
Kutokana na kitenzi 'angalia' tunapata sifa (a) .
Nyambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendesha;oa,jua,Kaa.
(a)
Sentensi 'Mwanaharusi ni chiriku' imetumia tamathali gani ya usemi?
(a)
Andika katika usemi wa taarifa:
"Ukila utashiba sana",mama alisema.
(a)
Mtoto wa nguruwe huitwa (a) ?
Akisami hii 7/9 huitwa (a) ?
Neno 'Mkwajuni' lina silabi ngapi?
(a)
Tumia 'o-te' katika sentensi ifuatayo:
Mijusi (a) huliwa na mnyama.
Andika Kwa udogo:
Sahani zako zote ziliingia katika kabati like.
(a)
Maneno yafuatayo Yako katika ngeli gani?
Munyu,wino,urafiki,wema.
(a)
Shairi la majibizano baina ya watu wawili au zaidi huitwaje?
(a)
Malipo Kwa mganga ni ada nayo zawadi Kwa kumshika mtoto ni (a) .
Chagua kivumishi katika sentensi:
Yeye alikuwa mtu wa kwanza kumwona mwalimu.
(a)
Kutokana na Kitenzi cheza tunaunda Nomino_________
Mjuzi wa maswala ya kisheria anayewakilisha na kutetea mshtaki au mshtakiwa huitwa_________
Kamilisha methali.
Bura yangu sibadili (a)
Anayependa nchi yake na yu tayari kuifia ni
(a)
Tambua kiwakilishi katika sentensi.
Wengi walifika mkutanoni jana.
(a)
