WorksheetsVIWAKILISHI
Total questions: 20
Worksheet time: 47mins
Tambua kivumishi katika sentensi hii:
Mchezaji hodari amepewa tuzo
(a)
Ni nini wingi wa:
Mkeka uliosukwa umeuzwa.
(a)
Eleza maana ya kula mwande.
(a)
Tegua kitendawili:
Kisima changu hakitindiki maji.
(a)
Mtu aliye na ujuzi wa kisheria anayewakilisha mshtaki au mshtakiwa mahakamani huitwa?
(a)
Msimu wa mvua nyingi huitwaje?
(a)
Mchezo wa watoto wa kushikana na kuangushana huitwa?
(a)
Ukitaka kupima wima wa ukuta utatumia kifaa gani?
(a)
Kitenzi washa katika kaul ya kutendesha ni.
(a)
Tambua Kiwakilishi katika sentensi hii:
Niitie wako , wangu amekataa.
(a)
Kanusha sentensi hii:Angefanya bidii angefaulu mtihani.
(a)
Kanusha : Kiti kilichonunuliwa kimevunjika.
(a)
Ukitaka kunichora utatoboa kitovu changu kea bikari . Mimi ni nani?
(a)
Shairi refu linaloelezea historia ya kitu au mtu huitwaje?
(a)
Asilimia ishirini na tano ni sawa na?
(a)
Tumbia amba katika sentensi hii:
Mkulima ajaye ndiye anywaye maziwa.
(a)
Kipande cha pili cha mshororo wa shairi huitwa?
(a)
Andika kwa udogo na wingi wa:
Mfupa wa mguuni ni mgumu sana.
(a)
Utamwitaje mtoto wa umbu?
(a)
Malipo yanayotozwa mahakamani kama adhabu ni (a)
