Font size
WorksheetsMaswali mseto
Total questions: 43
Worksheet time: 2hrs 1mins
Hospitali ndogo huitwa?
Machela ni?
Miereka ni nini?
Mpira wa magongo ni nini?
Chawa hukaa wapi?
Malale husababishwa na?
Mkunga ni nani?
Rufani/rufaa ni nini?
Utaya ni nini?
Chaka ni nini?
Timazi hutumiwa kufanya nini?
Utotole ni nini?
Daluga hutumiwa kufanya nini?
Kishaufu huvaliwa wapi?
Mathalani ya nambari witiri ni?
Bohari ni wapi?
Sogora ni nani?
Nyamawa ni kikembe cha?
Makao ya kiwavi ni?
Tarishi pia huitwa ?
Utotole pia huitwa ?
Dia/arshi ni malipo kwa sababu ya kufanya nini?
Mkopo usiotozwa riba?
Mkoloni pia huitwa?
Mlowezi pia huitwa ??
Marupurupu ni nini?
Kamilisha: Mtu hujikuna ________.
Kutia mrija ni kufanya nini?
Kamilisha:Mchama ago hanyeli__________
Sheria za ushairi huitwa?
Kikembe cha chungu ni ?
Kikembe cha samaki ni?
Kikembe cha mdudu ni?
Kisawe cha aliona soni?
Mrefu kama? ;except from mlingoti.
Kwate ni nini?
Fumba ni nini?
Mjusi ni nini?
Kolea hutumiwa?
Jibu ni nini?
Usaha ni nini?
Gange/amali pia huitwa?
Pole hutumiwa wakati gani?
