wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ DARASA LA 5

Total questions: 10

Worksheet time: 15mins

Name
Class
Date
1.

Chagua nomino ya pekee.

a)

kalamu

b)

kiota

c)

ugonjwa

d)

jumapili

2.

kamilisha nomino makundi.

Halaiki ya _______

a)

wachawi

b)

watu

c)

barua

d)

kuni

3.

Alama ya kikomo huitwa

a)

kitone

b)

kipumuo

c)

kinyota

d)

kiulizi

4.

Nyambua katika kauli ya kutendewa?

Fagia

a)

fagiwa

b)

fagiliwa

c)

fagilika

d)

fagiliana

5.

Ukubwa wa neno mwana

a)

kijana

b)

jana

c)

kichana

d)

kitana

6.

Sentensi gani iliyo katika hali timilifu

a)

mama apika

b)

mwalimu alienda ofisini

c)

tutasafiri Mombasa

d)

mtoto amefika salama

7.

Nomino upishi ni ngeli gani?

a)

U - YA

b)

U - ZI

c)

U - U

d)

U - YA

8.

Chumba cha kuwapokelea wageni huitwa

a)

jikoni

b)

ukumbi

c)

hamanuni

d)

sokoni

9.

Kamilisha methali.

Mungu si _

a)

adhumani

b)

ajmaina

c)

athumani

d)

asumini

10.

Gani 'maagano' katika kundi hili?

a)

hujambo

b)

waambaje

c)

buriani

d)

samahani