WorksheetsUPENDO 2 SWAHILI CLASS
Total questions: 20
Worksheet time: 15mins
Hii ni nini?
mkono
miguu
vidole
shingo
Habari yako?
Nzuri sana
poa
mambo
sasa
Hujambo?
Sijambo
Nzuri sana
poa
mamb0
Leo ni siku gani?
Leo ni Alhamisi
Leo ni Jumatatu
leo ni Ijumaa
Leo ni Jumamosi
Andika kwa wakati ujao
Mama anapika samaki
(a)
Hii ni rangi...........................
Nyekundu
nyeusi
Njano
Kijano
ANDIKA KWA WINGI
Mimi ninapika sukuma wiki
(a)
Andika kwa wingi
Wewe unacheza kandanda
(a)
Andika kwa umoja
Watoto wanacheza nje ya darasa
(a)
Jana ilikuwa siku gani?
Ijumaa
Jumatano
Jumapili
Alhamisi
Andika kwa wingi
Mwalimu anafundisha Kiswahili
(a)
Andika kwa wingi
Ng'ombe analala.
(a)
Ni vitanda vingapi?
kimoja
mbili
tatu
sita
Translate to swahili
i am playing
Mimi ninakula
Mimi ninacheza
Wewe unakula
wewe unacheza
Translate to Swahili
I am sleeping
Ninalala
Ninakula
Ninacheza
Ninaimba
huyu ni (a)
huyu ni (a)
Huyu ni (a)
Hapa ni (a)
Huyu ni (a)
