WorksheetsSwahili Thursday 29th March
Total questions: 10
Worksheet time: 8mins
Name
Class
Date
1.
Jibu Maamkizi haya: Hujambo
a)
Njema
b)
Sijambo
c)
Poa
d)
Salama
2.
Nyama ya ng'ombe ni gani?
a)
Beef
b)
Chicken
c)
Carrot
d)
Mutton
3.
Mimi ninapenda kula (a)
4.
Tunaenda shuleni siku ngapi za wiki? (How many days of the week do we go to school?)
a)
Saba
b)
Sita
c)
Tano
5.
Chora Ndizi tatu
6.
Chakula cha asubuhi huitwaje?
a)
Chajio
b)
Kiamshakinywa
c)
Chamcha
7.
What is plate in Swahili?
a)
Sahani
b)
Kikombe
c)
Kijiko
8.
Ingredients kwa Kiswahili huitwaje?
a)
Vitumbua
b)
Viungo
c)
Resipe
9.
Vitumbua ni vipi kwa picha zifuatazo?
a)
b)
c)
10.
Kai na Zane wanafanya nini?
a)
Wanakula
b)
Wanacheza
c)
Wanalia
100 %
