Wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

KISWAHILI GRADE 4

Total questions: 25

Worksheet time: 23mins

Name
Class
Date
1.

Soma habari hii kisha ujibu maswali yafuatayo.

Hapo zamani za kale wanyama wote ambao hula nyasi na majani waliiishi pamoja. Waalishi katika msitu na walikuwa na afya njema.

Wanyama hawa walianza kuzaana na kuwa wengi. Miti nayo ikaanza kuwa michache na mvua kupungua . Wanyama walikosa chakula na hawakujua wafanye nini.

Ndovu alisema wapande miti kwa sababu miti italeta mvua, mvua nayo italeta majani mengi na nyasi. Wanyama walikubaliana kupanda miti kumi mwezi wa Januari. Walichota maji na kunyunyizia miti kwa sababu ya kiangazi. Walipanda miti mitano Februari.

Mvua ilinyesha Machi na wanyama wakapanda miti ishirini. Mwezi wa Aprili, wakapanda miti ishirini na mmoja. Mei na Juni miti kumi na sita. Julai miti mitano, Agosti na Septemba hawakupanda miti yoyote. Oktoba na Novemba wakapanda ishirini na Desemba miti miwili. Mwaka huo wakapanda miti tisini na tisa. Waliendelea hivyo kila mwaka miti ikaongezeka, nyasi na majani vivyo hivyo. Mvua pia ikaendela kunyesha.

Wanyama walikuwa wanakula __________________ na __________________

(a)  

2.

Je, wanyama waliishi wapi? (a)  

3.

Ndovu pia huitwa (a)  

4.

Taja idadi ya miti iliyopandwa mwezi wa nne wa mwaka (a)  

5.

Mwaka huo walipanda miti tisini na tisa. Andika kwa idadi (a)   .

6.

Taja faida moja ya kupanda miti kulingana na kifungu ulichosoma  _______________________________________________

4 lines
7.

Soma habari hii kisha ujibu maswali yafuatayo.

Hapo zamani za kale wanyama wote ambao hula nyasi na majani waliiishi pamoja. Waalishi katika msitu na walikuwa na afya njema.

Wanyama hawa walianza kuzaana na kuwa wengi. Miti nayo ikaanza kuwa michache na mvua kupungua . Wanyama walikosa chakula na hawakujua wafanye nini.

Ndovu alisema wapande miti kwa sababu miti italeta mvua, mvua nayo italeta majani mengi na nyasi. Wanyama walikubaliana kupanda miti kumi mwezi wa Januari. Walichota maji na kunyunyizia miti kwa sababu ya kiangazi. Walipanda miti mitano Februari.

Mvua ilinyesha Machi na wanyama wakapanda miti ishirini. Mwezi wa Aprili, wakapanda miti ishirini na mmoja. Mei na Juni miti kumi na sita. Julai miti mitano, Agosti na Septemba hawakupanda miti yoyote. Oktoba na Novemba wakapanda ishirini na Desemba miti miwili. Mwaka huo wakapanda miti tisini na tisa. Waliendelea hivyo kila mwaka miti ikaongezeka, nyasi na majani vivyo hivyo. Mvua pia ikaendela kunyesha.

Ni miezi gani ambayo wanyama hawakupanda miti? _______________________ _______________________

(a)  

8.

Ukosefu wa mvua huleta ___________________________.

a)

masika

b)

kipupwe

c)

ukame

d)

miti

9.

Toa majibu ya salamu hizi.

Alamsiki (a)  

10.

Toa majibu ya salamu hizi. 

Sabalkheri (a)  

11.

Tegua vitendawili .

Huku ng'o na kule ng'o _______________________________

a)

giza

b)

jua

c)

mwezi

d)

mvua

12.

Tegua vitendawili .

Jicho la Mungu linachoma ____________________________

a)

mwezi

b)

jua

c)

mvua

d)

giza

13.

Soma sentensi hizi. Tumia maneno ya heshima badala ya yale yaliyopigiwa mstari.   

        i.            Kukojoa kando ya barabara ni hatia.

(a)  

14.

Nikifika nyumbani nitaenda kunya chooni.

(a)  

15.

Mama mwenye mimba amezaa.

(a)  

16.

Alipoketi kwenye vumbi alichafua matako.

(a)  

17.

Ndugu yake alikuwa anahara sana.

(a)  

18.

Andika nomino katika sentensi. 

Wanafunzi wanatembea haraka.

(a)  

19.

Rais alihimiza tuwe na upendo.

(a)  

20.

Andika kivumishi katika sentensi.

Chumba cha mama ni safi.

a)

chumba

b)

safi

c)

ni

d)

mama

21.

Tumia kiunganishi mwafaka.

Mama amanunua kitabu ______ kalamu.

a)

au

b)

na

c)

lakini

d)

ila

22.

Tumia kielezi mwafaka.

Duma hukimbia ___________.

a)

kwa ajili

b)

kwa nini

c)

kwa sababu

d)

kwa kasi

23.

Jaza nafasi kwa kiwakilishi sahihi.

(a)   ni mwanafunzi mzuri. ( sisi, wewe)

24.

Andika kitenzi badala ya maelezo.

Tumia miguu kwenda mbio.

a)

ruka

b)

cheza

c)

kimbia

d)

cheka

25.

Jibu la salamu "Waambaje?" ni ______

a)

vizuri

b)

njema

c)

sina la kuamba

d)

sina la waambaje