wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

wanyama porini

Total questions: 10

Worksheet time: 6mins

Name
Class
Date
1.

unaishi wapi?

(a)  

2.

yupi si mnyama wa porini?

a)

simba

b)

twiga

c)

kuku

d)

nyoka

3.

hii ni nini?

a)

sketi

b)

basi

c)

rinda

d)

kaptura

4.

mnyama huyu anaitwaje?

a)

mamba

b)

nyati

c)

twiga

d)

simba

5.

huyu ni?

a)

kuku

b)

mbwa

c)

mbuzi

d)

paka

6.

mnyama huyu anaitwaje?

a)

twiga

b)

simba

c)

mamba

d)

nyoka

7.

huyu anaitwaje

a)

chui

b)

kobe

c)

mamba

d)

simba

8.

mnyama huyu mwenye shingo ndefu anaitwaje

a)

tumbili

b)

twiga

c)

simba

d)

mamba

9.

hawa ni fisi wangapi

a)

wawili

b)

mmoja

c)

watatu

d)

wanne

10.

huyu ni nani?

a)

mwalimu

b)

mwanafunzi

c)

mtoto

d)

mvulana