NEW
Font size
S
M
L
XL
Worksheetswanyama 2
Total questions: 11
Worksheet time: 6mins
Name
Class
Date
1.
habari ya asubuhi?
a)
poa
b)
nzuri sana
c)
sijambo
d)
kwaheri
2.
huyu ni mnyama mgani?
a)
tembo
b)
tumbili
c)
twiga
d)
simba
3.
mnyama yupi si wa nyumbani?
a)
paka
b)
mbwa
c)
tembo
d)
mbuzi
4.
mnyama huyu anaitwaje?
a)
simba
b)
twiga
c)
swara
d)
tembo
5.
huyu ni?
a)
pundamilia
b)
kipepeo
c)
nyuki
d)
nyoka
6.
hapa ni wapi?
a)
nyumbani
b)
shuleni
c)
kanisani
d)
darasani
7.
hii ni nambari gani?
a)
nne
b)
mbili
c)
ishirini
d)
ishirini na mbili
8.
hiki ni chakula kipi?
a)
ugali
b)
vibanzi
c)
mchele
d)
mahindi
9.
mvulana huyu anafanya nini?
a)
anakimbia
b)
anatembea
c)
anacheka
d)
analia
10.
hii ni nini?
a)
upinde
b)
jua
c)
usiku
d)
mchana
11.
msichana huyu anafanya nini?
a)
anaruka
b)
anacheka
c)
analia
d)
anapika
Reset
