Worksheetsumbo 2
Total questions: 10
Worksheet time: 5mins
Name
Class
Date
1.
hamjambo wanafunzi?
a)
sijambo
b)
hatujambo
c)
marahaba
d)
shikamoo
2.
huyu anafanya nini?
a)
anacheza
b)
anapika
c)
anaogelea
d)
anafanya usafi
3.
biskuti hizi zina umbo la?
a)
mstari
b)
duara
c)
mraba
d)
moyo
4.
hili ni umbo gani?
a)
pembetano
b)
pembesita
c)
pembesaba
d)
pembenane
5.
hili ni umbo gani?
a)
nusuduara
b)
hilali
c)
duara
d)
mche
6.
kipande hiki cha tikitimaji ni umbo gani?
a)
duaradufu
b)
pia
c)
nusuduara
d)
mraba
7.
aiskrimu hii ni ya umbo gani?
a)
mstatili
b)
mraba
c)
pia
d)
duara
8.
ni saa ngapi?
a)
saa nane
b)
saa mbili
c)
saa saba
d)
saa nne
9.
hili ni umbo gani
a)
duaradufu
b)
duara
c)
mraba
d)
mstatili
10.
huyu ni nani?
a)
mwalimu
b)
rubani
c)
dereva
d)
mpishi
100 %
