WorksheetsFAHARI YA KENYA
Total questions: 10
Worksheet time: 6mins
Name
Class
Date
1.
sasa ni wakati gani?
a)
asubuhi
b)
mchana
c)
usiku
d)
alfajiri
2.
ni saa ngapi?
a)
saa kumi na dakika kumi
b)
saa nne na dakika kumi
c)
saa mbili na dakika kumi
d)
saa tatu na dakika kumi
3.
bendera hii ni ya nchi gani?
a)
marekani
b)
ufaransa
c)
uswisi
d)
kenya
4.
huu ni?
a)
ziwa
b)
mlima
c)
mto
d)
pwani
5.
chakula hiki chaitwaje?
a)
ugali
b)
githeri
c)
chapati
d)
wali
6.
mnyama huyu anaitwaje?
a)
nyati
b)
ndovu
c)
twiga
d)
simba
7.
yupi si mnyama wa porini
a)
ndovu
b)
paka
c)
simba
d)
twiga
8.
hapa ni wapi?
a)
kanisani
b)
nyumbani
c)
sokoni
d)
njiani
9.
hizi ni nini?
(a)
10.
tunamsalimia mtu mzee vipi?
a)
mambo
b)
shikamoo
c)
habari
d)
marahaba
100 %
