wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Familia

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

Heri walio maskini wa roho?

a)

Maana watamuona Mungu

b)

Maana uzima wa milele ni wao

c)

Maana ufalme wa mbinguni ni wao

d)

Maana watarithi nchi

2.

Heri wenye moyo safi?

a)

Maana hao watarithi nchi

b)

Maana hao watamwona Mungu

c)

Maana watapata uzima wamilele

d)

Maana watafika mbali

3.

Heri wenye rehema?

Maana hao watapata rehema

a)

Maana watapata uzima

b)

Maana hao watapata rehema

c)

Maana watapata fadhila

d)

Maana watafika mbinguni

4.

Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi?;

a)

Mtawekwa huru

b)

mtafunguliwa

c)

Mtapewa

d)

Mtakabidhiwa

5.

Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni ?.

a)

mbwa-mwitu wakali

b)

Ni wanyama

c)

Ni maadui wakubwa

d)

Ni mashetani

6.

Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ?

a)

Nyumba Yangu

b)

Moyoni mwangu

c)

ufalme wa mbinguni

d)

Hekaluni mwangu

7.

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami ?

a)

Nitawasadia

b)

Nitaibeba

c)

nitawapumzisha

d)

Nitaichukua

8.

BWANA ndiye mchungaji wangu, .....?

a)

Nimuogope nani

b)

Sitapungukiwa na kitu.

c)

Uniongoza

d)

Unilinda

9.

Onjeni muone?

a)

Yakua Mungu mzuri

b)

Yakua bwana yu Mwema

c)

Yu mzuri sana

d)

Anatupenda

10.

Neno Moja nimelitaka kwa Bwana?

a)

Nalo ndilo nitakalo litafuata

b)

Nalo ndilo nitakalo lifanya

c)

Nitakalo lifuata

d)

Litakalo Niongoza