wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Quiz ya Kiswahili - Nomino

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

Nomino ni nini?

a)

Majina ya watu

b)

Majina ya wanyama

c)

Majina ya mimea

d)

Maneno yanayotaja vitu

2.

Nomino za kawaida hazibainiki katika umoja wala wingi, ni kweli au uwongo?

a)

Haijulikani

b)

Inategemea

c)

Kweli

d)

Uongo

3.

Nomino za pekee huanza kwa .............?

a)

Herufi ndogo

b)

Herufi kubwa

c)

Herufi ya kati

d)

Herufi ya mwisho

4.

Ni nomino gani zinazotaja vitu vya kawaida katika mazingira yetu?

a)

Nomino za pekee

b)

Nomino za kipekee

c)

Nomino za kawaida

d)

Nomino za ajabu

5.

Majina ya watu ni aina gani ya nomino?

a)

Nomino za pekee

b)

Nomino za kawaida

c)

Nomino za ajabu

d)

Nomino za kipekee

6.

Nomino za kawaida hubainika katika umoja na wingi, ni kweli au uwongo?

a)

Haijulikani

b)

Uwongo

c)

Inategemea

d)

Kweli

7.

Tambua nomino za pekee katika sentensi hii. Sharon amenunua gari jipya aina ya Volkswagen.

a)

Sharon, aina

b)

Sharon, Volkswagen

c)

amenunua, Sharon

d)

gari, Sharon

8.

Chagua nomino za kawaida katika sentensi hii. Mwalimu aliwasili pamoja na watoto wake.

a)

Mwalimu, wake

b)

na, pamoja

c)

aliwasili, pamoja

d)

Mwalimu,watoto

9.

Gani si sifa ya nomino za pekee?

a)

hutaja majina ya watu pekee

b)

hazibainiki katika umoja na wingi

c)

hazitafsiriwi

10.

Nomino za pekee huanza kwa herufi kubwa katikati mwa sentensi. kweli au uongo?

a)

uongo

b)

kweli