WorksheetsMAREJELEO YA KISWAHILI
Total questions: 15
Worksheet time: 44mins
Chagua maelezo sahihi.
Kitenzi kikuu hakina uzito katika sentensi.
Kitenzi kisaidizi hubeba ujumbe mkuu katika sentensi.
Sentensi haiwezi kukamilika ikiwa na kitenzi kisaidizi bila kitenzi kikuu
Kitenzi kukuu husaidia kitenzi kisaidizi kutoa ujumbe kamili katika sentensi
Ni neno lipi ambalo ni kitenzi katika sentensi hii?
MAFURIKO YALIBOMOA NYUMBA ZA WATU WENGI
Yalibomoa
Wengi
Watu
Mafuriko
Sentensi zifuatazo zimezingatia hali mbalimbali. Ni ipi inaonyesha hali tegemezi kwa usahihi?
Mbuzi huyu angekuwa mnono angalichinjwa.
Mbuzi huyu asingalikuwa mnono asingechinjwa
Mbuzi huyu asingalikuwa mnono asingalichunjwa
Mbuzi huyu angelikuwa mnono angelichinjwa
Ni tanzu ya fasihi simulizi ambayo huwa fupi, huimbiwa watoto wachanga, huimbwa na wazazi au walezi na huibua hisia za upendo.
Je tanzu hii huitwa vipi?
(a)
Chagua matumizi mawili ya kikomo kama alama ya kuakifisha.
Hutumiwa kuandika tarehe.
Hutumiwa kuonyesha mwisho wa sentensi
hutumiwa mwanzoni mwa sentensi
Hutumiwa kuonyesha nomino za pekee
Dondoa nomino ya pekee katika sentensi hii.
Alipofika shuleni, Jembe alimpata mwalimu wake akimsubiri.
Wake
Shuleni
Mwalimu
Jembe
Wali, ugali ama sima, Viazi, mihogo na chapati. Hivi vyote ni mojawapo ya aina gani ya vyakula?
Protini
Wanga
Vitamini
Madini
Barua ya kirafiki huwa na anwani ya ______
mwandikiwa barua
mpokeaji wa barua
anayeandikiwa barua
mwandishi wa barua
Barua ya kirafiki pia huitwa.....
barua ya kifamilia
Barua ya kindugu
Barua ya kidugu
Barua rasmi
Chagua nomino jamii zilizo sahihi.
Maktaba ya vitabu
0rodha ya magari
Kaumu ya watu
genge la walimu
Soma kifungu hiki kisha ujibu swali litakalofuata.
Ufukara ni jambo ambalo limewasumbua sana watu wengi. Huwafanya watu walale njaa na wawe na huzuni sana. Hali hii huwafanya wengine waingilie mambo kama ujambazi.
Chagua nomino dhahania zote ambazo zimetumika katika kifungu hicho.
huzuni
ufukara
njaa
mambo
ujambazi
Chagua maagano kutoka kwa orodha.
Buriani
Chewa
Shikamoo
Sabalkheri
Ni maamkuzi yapi ambayo hutumiwa wakati wa asubuhi?
Hujambo
Salaam aleikum
Masalkheri
Sabalkheri
Mwanajuma alikuwa akiosha vyombo jana.
Je, sentensi hii imeandikwa katika wakati gani?
Wakati uliopita hali ya kuendelea
Wakati uliopo hali ya kuendelea
Wakati uliopita hali ya kuendelea
Wakati uliopita hali timilifu
Mpatie mnyama huyu jina halisi
Simba
Chui
Duma
Simbamarara
