wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

KISWAHILI KIDATO CHA KWANZA.

Total questions: 37

Worksheet time: 19mins

Name
Class
Date
1.

ANDIKA MAJINA YAFUATAYO KATIKA WINGI:

kinyonga -

(a)  

2.

mkeka -

(a)  

3.

cherehani -

(a)  

4.

jembe -

(a)  

5.

dereva -

(a)  

6.

meza -

(a)  

7.

ubavu -

(a)  

8.

marashi -

(a)  

9.

kuku -

(a)  

10.

kuimba -

(a)  

11.

miwani -

(a)  

12.

wali -

(a)  

13.

ANDIKA MAJINA YAFUATAYO KATIKA UMOJA:

mikunga -

(a)  

14.

ndevu -

(a)  

15.

malezi -

(a)  

16.

mashambani -

(a)  

17.

mishale -

(a)  

18.

uyoga -

(a)  

19.

vyambo -

(a)  

20.

nyumba -

(a)  

21.

wajomba -

(a)  

22.

mate -

(a)  

23.

kuosha -

(a)  

24.

nyute

(a)  

25.

ONYESHA NGELI ZA NOMINO KATIKA SENTENSI ZIFUATAZO.

FUATA MFANO UFUATAO:

Mwalimu Abu anaandika a - wa

(a)  

26.

Nyoka analala

(a)  

27.

Chambo kimeliwa

(a)  

28.

Mkebe utapotea

(a)  

29.

Sikio la kufa halisikii dawa

(a)  

30.

Kalamu ikipotea itatafutwa

(a)  

31.

Wembe umevunjika

(a)  

32.

Kusoma kunapendeza

(a)  

33.

Miwani imevunjika

(a)  

34.

Maisha yanafurahisha

(a)  

35.

Wali unapakuliwa

(a)  

36.

Ugonjwa unasumbua

(a)  

37.

Msituni ni hatari

(a)