Font size
Worksheets2 YOHANA NA 3 YOHANA.
Total questions: 21
Worksheet time: 14mins
Nini maana ya Waraka wa 2 Yohana?
Waraka wa 2 Yohana ni barua inayosisitiza umuhimu wa ukweli na upendo katika maisha ya Kikristo.
Waraka wa 2 Yohana ni barua ya kuhamasisha vita vya kijeshi.
Waraka wa 2 Yohana unazungumzia sheria za kidini.
Waraka wa 2 Yohana ni kitabu cha historia ya Kanisa.
Msingi wa upendo unajumuisha nini katika mafundisho ya Yohana?
Msingi wa upendo unajumuisha upendo wa wanadamu kwa vitu.
Msingi wa upendo unajumuisha upendo wa mali na utajiri.
Msingi wa upendo unajumuisha upendo wa wanadamu kwa wanyama.
Msingi wa upendo unajumuisha upendo wa Mungu, upendo wa wanadamu kwa Mungu, na upendo wa wanadamu kwa wenzao.
Ni akina nani wapinga Kristo kulingana na Waraka wa 2 Yohana?
wasiokiri ya kuwa Yesu yuaja katika mwili.
Yule anayekataa kuwa Yesu Kristo alifufuka kutoka kwa wafu.
Yule anayekataa kuwa Yesu Kristo ni Mungu.
Yule anayekataa kuwa Yesu Kristo alikufa msalabani.
Ni nini kinachofanya Waraka wa 3 Yohana kuwa wa kipekee katika mafundisho ya Kikristo?
Waraka wa 3 Yohana unatoa mwanga kuhusu uhusiano wa waumini na viongozi wao.
Waraka wa 3 Yohana unazungumzia historia ya kanisa la kwanza.
Waraka wa 3 Yohana unasisitiza umuhimu wa ibada ya umma.
Waraka wa 3 Yohana unatoa maelekezo kuhusu sheria za kidini.
Je, Waraka wa 3 Yohana unatoa mwanga gani kuhusu uhusiano wa waumini na wageni?
Waumini wanapaswa kuwakaribisha wageni kwa upendo na ukarimu.
Waumini wanapaswa kujitenga na wageni ili kuimarisha imani zao.
Waumini wanapaswa kuwachukia wageni.
Waumini wanapaswa kuwasaidia wageni kwa mali zao pekee.
mwandishi wa nyaraka za Yohana wa 2 na 3 anamejitamusha kama nani?
mjumbe wa Kristo
Mzee
shuhuda
Mtume
waraka wa 3 wa Yohana ni waraka kwa watu wote alioandikiwa nani?
kanisa utawanyikoni.
Gayo
Diotrefe na Demetrio
kila asomaye apate ufahamu.
"Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo". maneno haya yamenukuliwa toka kitabu gani ,sura na mstari.
( mf. 1 Antiokia 9:7)
(a)
Amri ambayo si mpya anayoandikiwa mama iliyokuwepo tangu mwanzo ni ipi?
kulishika jina na Bwana
kuzishika amri za Baba.
kwamba tupendane.
tuwajali wageni.
Na huu ndio upendo..............................................
(kwa mujibu wa 2 Yohana)
kuwajali wengine kama nafsi zetu.
tuenende kwa kuzishika amri zake.
kuwatanguliza wenzetu kwa unyenyekevu.
kupenda sio kwa neno bali kwa tendo.
Jiangalieni nafsi zenu msiyapoteze mliyoyatenda , bali mpokee thawabu (a)
mtu huyu hana Mungu.
(zingatia 2 yohana )
asiyewapenda wa kwao
apitaye cheo na asidumu katika mafundisho
asiyewapokea wageni
akalibishaye watu wasiotoa mafundisho ya kweli.
Mtu akija kwenu, naye haleti mafundisho haya, msimkaribishe nyumbani mwenu wala msimpe...................................
nafasi
salamu
kitu chochote
yote ni sahihi.
kila mtu akija kwenu na haleti mafundisho hayo msimkaribishe kwenu wala msimpe (a)
kwa mujibu wa 3 Yohana, kitu gani kinampa furaha zaiidi mzee?
kuona kazi inasonga mbele.
mafanikio ya Gayo
kuona kanisa linaendelea vizuri
kusikia kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli
katika waraka wa tatu kwa watu wote Mzee ni nani (a)
Gayo alikuwa nani, katika waraka wa tatu wa Yohana..................................
kiongozi mwaminifu wa kanisa
mshirika wa kanisa
rafiki wa mzee
mkristo kwelikweli asiye na mawaa.
Gayo alikuwa anafanya kazi kwa uaminifu sana na moja ya kazi zilizoandikwa katika 3 Yohana ni pamoja na....................................................
(chagua jibu sahihi zaidi)
kumsikiliza mzee
kuwatunza vizuri na kuwakaribisha wageni
kuhubiri injili ya kweli
kuinjilisha na kushuhudia
Diotrefe na Dimetrio wanasifa hizo isipokuwa.................
kunena maneno ya Upuuzi juu ya Mzee.
kutopokea Wageni wanaotumwa na Mzee
kupenda kuwa wakwanza na kuwakataza wengine kuwapokea hao ndugu
Ni mtu mwenye ushuhuda mwema na kulijenga kanisa katika kwelii
mpenzi, usiuge ubaya bali (a)
Yeye atendaye wema ni wa Mungu, bali atendaye mabaya (a)
