wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Wafanyakazi mbalimbali

Total questions: 20

Worksheet time: 15mins

Name
Class
Date
1.

Anayeendesha ndege huitwa

a)

rubani

b)

mkulima

c)

mwalimu

2.

Mimi hutibu wagonjwa. mimi ni

a)

mkulima

b)

daktari

c)

mwalimu

d)

dereva

3.

mimi hupika chakula. mimi ni

(a)  

4.

mimi hufundisha wanafunzi. Mimi ni

(a)  

5.

Ninakuza mimea shambani. Mimi ni

a)

mkulima

b)

dereva

c)

mpishi

d)

mwalimu

6.

Ninajenga nyumba.Mimi ni

a)

mwashi

b)

mhunzi

c)

daktari

7.

Ninaendesha gari

(a)  

8.

Ninanyoa nywele. Mimi ni nani?

a)

msusi

b)

kinyozi

c)

mwashi

d)

muuzaji

9.

Anayesuka nywele huitwa

(a)  

10.

Anayeuza bidhaa ni

a)

muuzaji

b)

mnunuzi

11.

Anayenunua bidhaa ni

(a)  

12.

Anayetengeneza magari huitwa

a)

mekanika

b)

dereva

13.

Anayedumisha usalama wetu ni

a)

polisi

b)

mekanika

14.

Anayeimba wimbo ni

a)

mwanamuziki

b)

msanii

c)

mchezaji

15.

mchezaji wa soka ni

a)

mwanasoka

b)

mwanakandanda

c)

msanii

16.

baruni

(a)  

17.

limwamu

(a)  

18.

shimwa

(a)  

19.

taridak

(a)  

20.

Anayelinda lango huitwa

a)

bawabu

b)

polisi

c)

mwalimu

d)

daktari