WorksheetsSARUFI GREDI YA NANE
Total questions: 6
Worksheet time: 12mins
Tambua matumizi ya alama ya hisi katika sentensi hii.
Akh! Mbona mtaputa uchafu kila mahali?
Kuonyesha amri.
Kutoa ilani.
Kuonyesha hisia za hasira.
Kuonyesha mshangao.
Chagua sentensi inayoonyesha matumizi ya alama ya hisi kuonyesha hisia za furaha.
Maskini! Wagonjwa wote hawajapata nafuu.
Hoyee! Wazazi wetu wote wamepata afueni.
Mama yangu we! Mwanafunzi huyu amepata alama saba pekee.
Tokeni nje haraka! Kuna moto.
Alama ya ritifaa imetumikaje katika neno hili?
afy'etu
kupunguza herufi.
kuonyesha umilikishi
kuuliza swali
kutoa sauti ya king'ong'o.
Ainisha aina ya neno lilipogiwa msitari.
Wewe unapenda kazi safi sana.
Nomino ya pekee/mahususi.
kiwakilishi cha nafsi ya tatu.
kiwakilishi cha nafsi ya kwanza.
kiwakilishi cha nafsi ya pili.
Chagua sentensi ambayo imetumia kiwakilishi cha idadi.
Maembe manne yameoza.
Wa nne anaitwa Yohana.
Mwalimu alinipatia maembe manne.
Mtoto wa nne kufika anaitwa Vera.
Ni sentensi ipi haina kiwakilishi kiashiria?
Yule ni mwema.
Hapo pana uchafu mwingi.
Huko kuna wanyama hatari.
Mganga yule amewahadaa watu wengi.
