wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Quiz 23

Total questions: 138

Worksheet time: 1hrs 13mins

Name
Class
Date
1.

Hamjambo wanafunzi?

(a)  

2.

Hapa ni wapi?

a)

msituni

b)

baharini

c)

nyumbani

d)

sokoni

3.

Hapa ni wapi?

(a)  

4.

Huyu anafanya nini?

(a)  

5.

Hii ni nini?

(a)  

6.

Hii ni nini?

(a)  

7.

Kanusha sentensi hii (negate this sentense)

Mama anaenda sokoni

(a)  

8.

Kanusha

Simba anaishi porini

(a)  

9.

Kanusha (negate)

Kaka anaogelea

(a)  

10.

Kanusha (negate)

Sisi tunaenda nyumbani



(a)  

11.

Kanusha : negate

Wanafunzi wanaandika barua

(a)  

12.

Kanusha;

Gari kubwa litanunuliwa

(a)  

13.

Kanusha (negate)

Mwalimu atafika mapema

(a)  

14.

Kanusha: negate

Dada anaenda sokoni

(a)  

15.

Andika kwa wingi (write in plural)

Mtoto anacheza kandanda

(a)  

16.

HUYU NI MTOTO

a)
b)
c)
17.

Hawa ni SUNGURA

a)
b)
c)
18.

Mtoto anakula nini?

a)

embe

b)

ndizi

c)

papai

19.

simba anakula nini ?

a)

nyama

b)

majani

c)

miti

20.

Huyu ni

a)

kuku

b)

paka

c)

chatu

21.

Baba anakula nini?

a)

wali na nyanya

b)

wali na samaki

c)

wali

22.

Hii ni

a)

NCHI

b)

SAA

c)

NYUMBA

23.

Leroy ana miaka......?

a)

saba

b)

sita

c)

nane

24.

Joy ana miaka

a)

saba

b)

sita

c)

tisa

25.

Shani ana miaka

a)

kumi

b)

tisa

c)

nane

26.

Joy anaishi wapi ?

a)

ufaransa

b)

uswisi

c)

uingereza

27.

shani anaishi wapi ?

a)

uswisi

b)

ufaransa

c)

marekani

28.

Leroy anaishi wapi ?

a)

uswisi

b)

ufaransa

c)

uingereza

29.

1+1 = ?

a)

2

b)

8

c)

9

30.

10 +12=?

a)

14

b)

12

c)

22

31.

Hii ni picha ya nini?

a)

Sofa

b)

Kitanda

c)

Meza

32.

Hii ni picha ya nini?

a)

luninga

b)

viti

c)

sofa

33.

Huyu ni Kasuku.

a)

ndiyo

b)

hapana

c)

sijui

34.

mwalimu anapenda kula pilau.picha ipi ni ya pilau

a)
b)
c)
35.

SHANI ANAPENDA KULA VITUMBUA.IPI PICHA YA VITUMBUA?

a)
b)
c)
36.

MIMI NINAKULA PIZA.

a)
b)
c)
37.

MTOTO ANAENDESHA BAISKELI

a)
b)
c)
38.

IPI PICHA YA ASALI

a)
b)
c)
39.

IPI PICHA YA BASI ?

a)
b)
c)
40.

HAYA NI MAUA YA NJANO

a)
b)
c)
41.

IPI PICHA YA SUNGURA?

a)
b)
c)
42.

IPI PICHA YA LUNINGA ?

a)
b)
c)
43.

PICHA IPI INAONESHA KULALA ?

a)
b)
c)
44.

PICHA IPI INAONESHA KUCHEZA KARATA ?

a)
b)
c)
45.

IPI PICHA YA MKATE?

a)
b)
c)
46.

Tunatumia ______________________ kukusanya taka.

a)

kifyekeo

b)

reki

47.

Tunatumia ___________________ kufagia darasa.

a)

ufagio

b)

baro

48.

Amina hutupa taka ndani ya ________________.

a)

pipa

b)

darasa

49.

Baba anafyeka akitumia ____________________

a)

reki

b)

kifyekeo

50.

Ni vizuri kuweka mazingira yetu ____________ kila wakati.

a)

masafi

b)

safi

51.

Andika vizuri: embej

(a)  

52.

Andika vizuri: onod

(a)  

53.

Andika vizuri: ofigau

(a)  

54.

Mbu hueneza ugonjwa wa (a)  

55.

Mbu huishi kwenye (a)   yenye maji iliyotupwa kwenye mazingira.

56.

Sasa ni saa ngapi?

a)

Saa saba

b)

Saa sita

c)

Saa nane

d)

Saa moja

57.

Ni gani saa sita?

a)
b)
c)
d)
58.

sasa ni saa ngapi?

a)

Saa nane

b)

Saa mbili

c)

Saa saba

d)

Saa sita

59.

Ni gani saa tano kamili?

a)
b)
c)
d)
60.

Sasa ni saa ngapi?

a)

Saa nane

b)

Saa tatu

c)

Saa saba

d)

Saa mbili

61.

Give the Kiswahili name for House

a)

Nyumba

b)

Jikoni

c)

Paa

d)

Dirisha

62.

Window is kiswahili is

a)

Paa

b)

Mama

c)

Dirisha

d)

Bafu

63.

Shikamoo

a)

Sijambo

b)

Marahaba

c)

Kwaheri

d)

Poa

64.

which sentence is the correct trransalation of the sentence below :

Mama aliendesha gari vizuri

a)

Dad took the car.

b)

Mum drive the car well.

c)

My sister has a car

d)

Uncle sold his car

65.

which of the following Swahili words best match the group of words listed below:

Window, Roof, Door, Kitchen

a)

Dirisha, Paa, Mlango, Jikoni

b)

Baba, mama, Dada, kaka

c)

Mimi, wewe, sisi, hao

66.

Uncle in Swahili is?

a)

Shangazi

b)

Bibi

c)

Mjomba

d)

Kaka

67.

Grand Mother in Swahili is?

a)

Nyanya/Bibi

b)

Babu

c)

Mpwa

d)

Shangazi

68.

Brother in Swahili is?

a)

Kaka

b)

Mjomba

c)

Shangazi

d)

Mama

69.

Grand Father in Swahili is

a)

Mama

b)

baba

c)

Babu

d)

Mjomba

70.

Kwaheri

a)

Good Bye

b)

I am fine

c)

Go

d)

Come

71.

Mwalimu wetu anaitwa ?

a)

Alfred

b)

Kariuki

c)

Waweru

d)

Rachael

72.

What is morning in swahili

a)

Jioni

b)

Asubuhi

c)

Adhuhuri

d)

Usiku

73.

What is evening in Swahili

a)

Usiku

b)

Macheo

c)

Machweo

d)

Jioni

74.

Ni saa ngapi kwa Kiswahili?

a)

Saa tatu

b)

Saa tisa

c)

Saa kumi na mbili

d)

Saa sita

75.

Ni saa ngapi kwa Kisahili

a)

Saa tatu na robo.

b)

Saa nne na robo

c)

Saa nne kasorobo

d)

Saa tatu na nusu

76.

Ni saa ngapi kwa Kiswahili?

a)

Saa saba kasoro dakika ishirini na tano

b)

Saa saba na dakika ishirini na tano

c)

Saa nane kasorobo

d)

Saa saba na nusu

77.

Ni saa ngapi ka Kiswahili?

a)

Saa nne na nusu

b)

Saa tano na nusu

c)

Saa kumi na moja na nusu

d)

Saa kumi na moja kasoro nusu

78.

Night in Swahili

a)

Mchana

b)

Jioni

c)

Usiku

d)

Alfajiri

79.

Minute in Swahili

a)

muda

b)

Sekunde

c)

Saa

d)

Dakika

80.

Yesterday

a)

Leo

b)

Juzi

c)

Jana

d)

Kesho

81.

Tomorrow

a)

Kesho

b)

Mtondo

c)

wiki

d)

wakati

82.

Very early in the morning (5.00am - 6.00am in the morning)

a)

Asubuhi

b)

Alfajiri

c)

Usiku

d)

Mchana

83.

Early

a)

Usiku

b)

Macheo

c)

Usiku

d)

Mapema

84.

Sunrise

a)

Macheo

b)

Machweo

c)

Alfajiri

d)

Usiku wa Manane

85.

Sunset

a)

Asubuhi

b)

wakati

c)

Machweo

d)

Adhuhuri

86.

Year

a)

Mwezi

b)

Mwaka

c)

Wiki

d)

Siku

87.

Kuomba is to _____

a)

Ask for

b)

Give

c)

Help

88.

What is the Kiswahili word for 'help'?

a)

Usaidizi

b)

Msaada

c)

Nisaidie

89.

Translate: Help me!

a)

Msaidie

b)

Nisaidie

c)

Tusaidie

90.

How do you ask for something politely in Kiswahili?

a)

Ninataka ...

b)

Naomba ...

c)

Nahitaji ...

91.

Based on the image, complete the following sentence in Kiswahili using the most appropriate word.

Nisaidie na (a)  

92.

Negate: Ninataka

a)

Sijui

b)

Sitaki

c)

Anataka

93.

Ninahitaji maji means

a)

I want water

b)

I need water

c)

I don't water

94.

Maji is food. True of False?

a)

True

b)

False

95.

Tunasemaje 'I would like...' kwa Kiswahili?

a)

Ninahitaji

b)

Ninataka

c)

Ningependa

96.

Translate: Nisaidie kupika

a)

I want to cook

b)

Help me to cook

c)

I need to cook

97.

What is father in kiswahili

a)

Babu

b)

Baba

c)

Binamu

d)

Mama

98.

Robert has a sister, what is sister in Swahili

a)

Nana

b)

Lala

c)

Dada

d)

Dudu

99.

Shemeji ni ....... ( Shemeji is.....)

a)

Sister in Law

b)

Brother in law

c)

Father in law

d)

Mother in aw

100.

Mjomba ni ( Mjomba is )

a)

Uncle

b)

Father

c)

Paternal uncle

d)

Aunt

101.

Which family member is the brothers wife ?

a)

Wifi

b)

Mke

c)

Mpwa

d)

Kitukuu

102.

What is step mother in kiswahili ?

a)

Baba wa kambo

b)

Mama wa kambo

c)

Mama

d)

Baba

103.

Babu na nyanya ni.........

a)

Father and mother

b)

Brother and sister

c)

Grand Father and Grand Mother

d)

Cousin and Cousins

104.

Wazazi anaitwa .......... kwa kiingereza

anaitwa ( called )

a)

Guardians

b)

People who take care of you

c)

Parents

d)

Adults

105.

Who are in the picture ?

a)

Wazazi

b)

Mwalimu

c)

Watoto

d)

Babu

106.

How do you say brother in swahili ?

a)

Dada

b)

Mama

c)

Kaka

d)

Baba

107.

How do you say grand father ?

a)

baba

b)

Nyanya

c)

Babu

d)

Dadu

108.

Who do you call the sons or daughters of your mums sister ?

a)

Mpwa

b)

Binamu

c)

Kaka

d)

Dada

109.

-__________________ ni tunda

a)

hili

b)

haya

110.

______________ matunda

a)

haya

b)

hii

111.
a)

________________ kiti

b)

hiki

c)

hivi

112.

_______________ viti

a)

hivi

b)

hiki

113.

_________________ mvulana

a)

huyu

b)

hawa

114.

_____________________ wavulana

a)

huyu

b)

hawa

115.

_________________ nyumba

a)

hizi

b)

hii

116.

Numba ________________

a)

hizi

b)

hii

117.

mti _______________

a)

hii

b)

hizi

118.

miti __________________

a)

hizi

b)

hii

119.

1. Adika kwa maneno.

a. 25

a)

Ishirini na tano

b)

thelathini na tano

120.

2. 58

a)

sabini na nane

b)

hamsini na nane

121.

116

a)

Mia moja sitini

b)

mia moja na kumi na sita

122.

540

a)

Mia tano arubaini

b)

Mia tano thelathini

123.

1000

a)

Mia moja

b)

Elfu moja

124.

Andika majibu ya salamu.

Hujambo

a)

Sijambo

b)

Hatujambo

125.

Shikamoo

a)

Marba

b)

Marahaba

126.

Kamilisha kwa kutumia kiwakilishi sahihi

_______________ ninacheza.

a)

Mimi

b)

Yeye

127.

_____________________anatembea polepole.

a)

Nyinyi

b)

Yeye

128.

___________________ tunapenda kusoma.

a)

Sisi

b)

Wewe

129.

Mtoto _________________ anacheza.

a)

Hawa

b)

Huyu

130.

Wamama ______________________ ni wazuri.

a)

Huyu

b)

Hawa

131.

Wadudu __________ ni wakubwa.

a)

Huyu

b)

Hawa

132.

Mkulima __________ anapanda maindi.

a)

Hawa

b)

Huyu

133.

Baba ___________ ni daktari.

a)

Huyu

b)

Hawa.

134.

Wazazi ____________ wanakuja shuleni.

a)

Huyu

b)

Hawa

135.

Mwalimu ___________ ni mrefu.

a)

Hawa

b)

Huyu

136.

Daktari ____________ alinidunga shindano.

a)

Huyu

b)

Hawa

137.

Wanafunzi __________ ni wa darasa la kwanza.

a)

Hawa

b)

Huyu

138.

Mwalimu _________________ anatufunza hesabu.

a)

Hawa

b)

Huyu