Font size
Worksheets📖 <strong>Kazi ya Kusoma: Afya na Ustawi</strong>
Total questions: 1
Worksheet time: 9mins
📖 Kazi ya Kusoma: Afya na Ustawi
Soma kifungu hiki kwa makini:
Janet ni msichana wa darasa la nne. Kila siku asubuhi huamka mapema, huoga, na hupiga mswaki. Kabla ya kwenda shuleni, anakula kifungua kinywa chenye matunda, mkate na maziwa.
Shuleni, Janet hupenda kucheza na wenzake mpira wa miguu na kuruka kamba. Anajua mazoezi humfanya awe na mwili wenye afya na akili yenye nguvu.
Jioni, kabla ya kulala, Janet hunawa mikono, hula chakula cha jioni chenye mboga na samaki, kisha hupiga mswaki tena. Mama yake humwambia:
“Usafi na chakula bora huleta afya njema.”
Janet hufanya nini kila siku asubuhi?
Huamka asubuhi, huoga na kupiga mswaki
hucheza na kuimba
huoga na kucheza
Ni chakula gani Janet hula kifungua kinywa?
wali
matunda, mkate na maziwa
chai kwa mandazi
Ni michezo gani Janet hufanya shuleni?
mpira wa miguu na kuruka kamba
raga
soka
Netiboli
Kwa nini mazoezi ni muhimu kwa mwili na akili?
humpa afya na akili yenye nguvu
humfanya kuzembea
Mama yake Janet alisema nini kuhusu afya njema?
usafi na chakula bora huleta afya njema
usafi ni muhimu shuleni
andika jina la tunda hili
(a)
andika jina
(a)
picha hii ina
(a)
Kabohaidreti hutupa (a)
Janet alikuwa darasa la
tano
nne
tatu
pili
