wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

grade 4 kiswahili quizziz

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

Vihusishi ni nini?

a)

Vihusishi ni maneno yanayoonyesha uhusiano baina ya kitu na kingine.

b)
Vihusishi ni neno la Kiswahili linalomaanisha 'kufanya kazi' au 'kujenga'.
c)
Vihusishi ni neno la Kiswahili linalomaanisha 'kuficha' au 'kuondoa'.
d)
Vihusishi ni neno la Kiswahili linalomaanisha 'kufanya' au 'kuharibu'.
2.

Ni neno lipi ni kihusishi?

a)

yeye

b)

Nairobi

c)

juu ya

d)

shuleni

3.

Panya ameingia________shimo.

a)

juu ya

b)

chini ya

c)

katika mwa

d)

ndani ya

4.

Viatu vyangu viko_____kitanda.

a)
mbele ya
b)
juu ya
c)

mbali na

d)

mvunguni mwa

5.

Nimeketi _________rafiki yangu.

a)

karibu na

b)

juu ya

c)

mvunguni mwa

d)
pamoja sana
6.

Tambua orodha ya viwakilishi.

a)

mimi

yeye

huyu

mrembo

kizuri

b)

shuleni

sana

pole pole

haraka

mpole

c)

Nairobi

Peter

kidogo

vyembamba

viatu

d)

kiti

tunda

wewe

mama

tembea

7.

Akufaaye kwa dhiki ________

a)

adui

b)

ndiye rafiki

c)

ndiye muungwana

d)

ni mzuri

8.

Ni nini maana ya 'taka idhini'?

a)

kutaka ukubaliwe kutekeleza jambo

b)

kuamua kufanya jambo kuhusu suala fulani

c)

kuandikisha kesi kuhusu tukio au jambo fulani

d)

kubisha ili ufunguliwe mlango

9.

'Soma ' katika kauli ya kutendwa ni?

a)

somea

b)

someka

c)

somwa

d)

somewa

10.

Wakati uliopita tunatumia kiambishi gani?

a)

ta

b)

li

c)

na

d)

me