wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Worksheet on Syllables and Tongue Twisters

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

Silabi ni nini?

a)

Neno lilioundwa na konsonanti pekee

b)

Sehemu ndogo ya neno iliyoundwa na irabu pekee au konsonanti na irabu

c)

Neno lilioundwa na irabu pekee

d)

Sehemu ya sentensi

2.

Neno “muziki” lina silabi ngapi?

a)

Mbili

b)

Tatu

c)

Nne

d)

Moja

3.

Gawanya neno “amemwoza” katika silabi zake.

a)

a) a + me + mwo + za

b)

b) ame + mwo + za

c)

c) a + mem + wo + za

d)

d) am + em + wo + za

4.

Vitanza ndimi ni nini?

a)

Maneno yanayotatiza macho

b)

Maneno yanayotatiza ndimi katika kuyatamka aghalabu yatamkwapo upesi

c)

Maneno yenye silabi nyingi

d)

Maneno rahisi kutamka

5.

Kwa nini vitanza ndimi hutatiza ndimi?

a)

Kwa sababu vina maneno ya kigeni

b)

Kwa sababu hutamkwa kwa haraka na vinafanana kwa sauti

c)

Kwa sababu vina maneno mafupi

d)

Kwa sababu vina maneno ya lugha tofauti

6.

Ni ipi kati ya hizi ni mfano wa kitanzandimi?

a)

Muziki mzuri

b)

Kaka kile kikuku changu kidogo kaka kiko kwako?

c)

Silabi ni sehemu ya neno

d)

Muziki wa Kenya

7.

Ni kitanzandimi kipi kinahusisha neno “kanga”?

a)

Jifunge kanga ukaange kanga kwenye kaa ukiikaa

b)

Paa alipaa juu ya paa nikapopa samaki nikapaa moto

c)

Waliwahi asubuhi kuhudhuria ghafla hafla ya lugha

d)

Pofu kipofu ana kibofu kibovu

8.

Ni ipi kati ya hizi si kitanzandimi?

a)

Chura jura alitoka chozi katika jozi ya macho yake

b)

Alilala chali bila kujali joka lililochoka chakari

c)

Mwalimu mkuu ako darasani.

9.

Silabi huunda nini?

a)

Sentensi

b)

Neno

c)

Kitanzandimi

d)

Irabu

10.

Unda kitanzandimi kipya chenye maneno yanayofanana kwa sauti. Ni ipi kati ya hizi ni sahihi?

a)

Paka paka paka paka

b)

Paka alipaka rangi paka akapaka paka

c)

Paka ni mnyama

d)

Paka ana manyoya