NEW
Font size
WorksheetsKISWAHILI 2
Total questions: 25
Worksheet time: 25mins
Ni jibu gani lililo na nomino pekee?
Jumamosi, Desemba,kifutio na nzuri
kiatu, balbu,darasani na safi
usafi,chandarua,Nairobi na wema
Vyema, watano, mengi na kitamu
Kifaa hiki ccha nyumbani huitwa_________
serendani
stovu
karai
tendeguu
Chugua wingi wa nomino bata
wabata
bata
mabata
zibata
Neno lililopigiwa mstari ni la aina gani?
Mwanaisha amepika chakula kingi.
nomino
kivumishi
kitenzi
kingi
Tambua neno lililopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo.
Shannel anashona nguo zake.
kitenzi
kivumishi
kiunganishi
nomino
_____________ ni jina la mahali,kitu au mtu.
kitenzi
darasa
nomino
kivumishi
Neno linalotoa habari zaidi kuhusu nomino huitwaje?
nomino
kivumishi
kitenzi
kielezi
Picha hii inaonyesha chumba gani?
jikoni
sebuleni
chumba cha malazi
msalani
Ni kifaa gani hakipatikani sebuleni?
kochi
runinga
zulia
chandarua
Sehemu inayoshikilia mlango kwenye ukuta huitwaje?
mwengoya
kizingiti
balbu
matendeguu
Ni jibu gani lililo na jozi yenye vitate?
bobo-popo
televisheni- runinga
simama - keti
mkono-mguu
Jaza pengo.
Wageni ______ wamekaribishwa sebuleni.
kikubwa
cheusi
mzuri
wengi
Chagua vitenzi kutoka kwenye kikapu.
soma
ruka
tembea
yangu
mrefu
mfupi
mpole
yake
mwema
kiatu
sebule
Ijumaa
yangu
kiatu
mrefu
soma
Maneno yaliyoandikwa kwa rangi ya bluu ni ya aina gani?
vielezi
vivumishi
vitenzi
nomino
Jaza pengo.
Pipi ni kwa bibi kama vile chambo ni kwa __________.
popo
jambo
rula
kiatu
Tambua jina la picha hii.
runinga
redio
kompyuta
tumbuu
Halima anapika githeri. Amewekelea sufuria kwenye ______________ .
mafiga
serendani
sahani
kinu
Neema alikutana na nyanya yake. Alimsalimia "Shikamoo nyanya?". Nyanya yake alimjibu vipi?
marahaba
vyema
asante
sijambo
Mwalimu wangu, wazazi wetu,rafiki yangu na nyumbani kwetu ni mifano ya insha za aina gani?
insha ya wasifu
insha za maelezo
insha hizi
insha za vitabu
Mimi ni chombo cha nyumbani. Wakati mwingi huwa ninapatikana jikoni.Ninatumiwa sana wakati pilau inapikwa. Ninatumiwa pamoja na mchi. Je, mimi ni nani?
kinu
chandarua
kifutio
kiota
Shairi la mshororo mmoja hutwaje?
tathmina
tarbia
tathlitha
tathnia
Mtunzi stadi wa mashairi huitwaje?
malenga
mshairi
manju
ubeti
Chagua neno baki.
mpera
papai
mhindi
mparachichi
Ni neno gani ambalo halipatikani katika ngeli ya A- WA?
mchungwa
kipepeo
daktari
manyani
Tambua kiwakilishi katika sentensi ifuatayo.
Mimi hupenda kucheza na wenzangu sana.
wenzangu
mimi
na
sana
