Matumizi ya lugha

Matumizi ya lugha

10th - 12th Grade

15 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Salon de Clase

Salon de Clase

9th - 12th Grade

15 Qs

L3U3W1 Future Passive Periphrastic Vocab Boxes

L3U3W1 Future Passive Periphrastic Vocab Boxes

9th - 12th Grade

18 Qs

Novel

Novel

10th - 12th Grade

20 Qs

QUIZ KISWAHILI

QUIZ KISWAHILI

9th Grade - University

12 Qs

USHAIRI

USHAIRI

9th - 12th Grade

12 Qs

SWAHILI YEAR 7

SWAHILI YEAR 7

6th - 10th Grade

11 Qs

Swahili

Swahili

12th Grade

15 Qs

Ngeli za Kiswahili

Ngeli za Kiswahili

7th - 10th Grade

17 Qs

Matumizi ya lugha

Matumizi ya lugha

Assessment

Quiz

World Languages

10th - 12th Grade

Hard

Created by

Abdi Ismail

Used 10+ times

FREE Resource

15 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Shamirisho ni...

Sehemu ya Kundi nomino iliyokaliwa na nomino kuu

Sehemu ya kundi tenzi ambayo hukaliwa an nomino ambayo yaweza kuwakilisha mtendwa au mtendewa

Sehemu ya kundi tenzi ambayo hukaliwa an nomino ambayo huwakilisha mtenda

Sehemu ya kundi nomino ambayo hukaliwa an nomino ambayo yaweza kuwakilisha mtendwa au mtendewa

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Shamirisho kipozi....

Hupokea athari za kitenzi Moja kwa moja

Hupokea athari za kitendo kupitia kwa nomino nyingine

Ni kifaa kilichotumiwa kutendea tendo

Hueleza zaidi juu ya kitenzi

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Shamirisho kitondo....

Hupokea athari za kitenzi Moja kwa moja

Hupokea athari za kitendo kupitia kwa nomino nyingine

Ni kifaa kilichotumiwa kutendea tendo

Hueleza zaidi juu ya kitenzi

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Shamirisho ala....

Hupokea athari za kitenzi Moja kwa moja

Hupokea athari za kitendo kupitia kwa nomino nyingine

Ni kifaa kilichotumiwa kutendea tendo

Hueleza zaidi juu ya kitenzi

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Chagizo...

Hupokea athari za kitenzi Moja kwa moja

Hupokea athari za kitendo kupitia kwa nomino nyingine

Ni kifaa kilichotumiwa kutendea tendo

Hueleza zaidi juu ya kitenzi

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Kirai ni ....

Sehemu ya kundi nomino inapokaa nomino kuu

Sehemu kwenye muundo wa sentensi ambayo haiwasilishi Amana kamili

Sentensi sahili

Ni kipashio cha kimuundo chenye nomino au kiwakilishi chake

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Alikuwa amejenga karibu na ufuo wa bahari . sehemu iliyo andikwa kwa wino mwekundu ni

Kirai cha nomino zaidi ya moja

Kirai kielezi

Kirai kihusishi

Kirai kivumishi

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?