kis 7

kis 7

7th Grade

25 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Weekend assignment-Kiswahili

Weekend assignment-Kiswahili

5th - 8th Grade

20 Qs

kis 7

kis 7

7th Grade

25 Qs

ISIMU JAMII

ISIMU JAMII

7th - 12th Grade

20 Qs

Maswali ya Kusikiliza na Kuzungumza - Usikilizaji wa Mazungumzo

Maswali ya Kusikiliza na Kuzungumza - Usikilizaji wa Mazungumzo

7th Grade

20 Qs

MATUMIZI YA -PO-

MATUMIZI YA -PO-

5th - 7th Grade

30 Qs

NOMINO ZA MAKUNDI

NOMINO ZA MAKUNDI

7th Grade

20 Qs

MATUMIZI YA AMBA-

MATUMIZI YA AMBA-

5th - 8th Grade

25 Qs

Sarufi :Aina Za Maneno.

Sarufi :Aina Za Maneno.

5th - 12th Grade

25 Qs

kis 7

kis 7

Assessment

Quiz

Other

7th Grade

Medium

Created by

benson mbugua

Used 1+ times

FREE Resource

25 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 sec • 1 pt

Kanusha: Angemsikiliza mwalimu angefaulu vizuri

Angemsikiliza mwalimu haungefaulu vIzuri

Hangemsikiliza mwalimu hangefaulu vizuri

Asingalimsikiliza mwalimu asingalifaulu vizuri

Asingemsikiliza mwalimu asingefaulu vizuri

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 sec • 1 pt

Changua nomino iii yo katika ngeli ya U-YA.
Umbo -maumbo
Ubao - mbao
Upishi - mapishi

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 sec • 1 pt

Shairi la mishororo mitatu ni thathilitha na la mishororo minne ni
tarbia.
tathnia.
takhmisa.

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 sec • 1 pt

Chagua kivumishi cha pekee katika sentensi hii: Gari lenyewe lilinunuliwa jana jioni.
gari
lenyewe.
nunuliwa.

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 sec • 1 pt

Ni jozi ipi ina vimelea pekee?
Chawa na nyuki
Ndege na popo.
Kupc na kunguni

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 sec • 1 pt

Ni sentensi ipi inaonyesha 'kwa' ya kumiliki?
Wageni walifika kwake jana.
Mwanafunzi aliingia kwa mwalimu mkuu.
Alipata alama kumi kwa thelathini

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 sec • 1 pt

Udogo wingi wa majitu yamepanda miti ni
Jitu limepanda kijiti.
Vijitu vimepanda vijiti.
Vijijitu vimepanda viti

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?