
Maswali
Authored by ANNABEL KINYUA
Other
7th - 12th Grade
Used 9+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
27 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Ni utanzu gani kati ya ulizopewa , ambao si utanzu wa fasihi simulizi
Ushairi simulizi
Hadithi
Maigizo
Visasili
Mazungumzo
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Ni kipera gani kati ya hizi ambacho ni cha hadithi
Ulumbi
Mighani
Maghani
Nyimbo
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Ni maelezo gani ambayo si sahihi kuhusu fomyula za ufunguzi
Hutambulisha mtambaji
Hutangaza funzo
Huvuta makini ya wasikilizaji
Hushirikisha hadhira na mtambaji
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Ni kipera gani kati ya hizi ambacho ni cha hadithi
Ulumbi
Mighani
Maghani
Nyimbo
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Eleza maana ya mighani
Ni hadithi zinazohusu majagina waliowahi kuishi katika jamii.
Ni hadithi zinazoeleza asili ya maumbile katika ulimwengu
Ni hadithi zinazohusu wanyama wanaopewa sifa za binadamu
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Sifa gani ambayo si mojawapo ya sifa za mtambaji bora
Awe mbunifu
Awe jasiri
Atumie lugha sanifu
Aelewe utamaduni wa jamii
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Linganisha mighani na visasili
Ni hadithi za kihistoria
Wahusika wake ni wanyama
Huwa zinafanana
Hutumia mbinu ya ucheshi
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?