MAPAMBO

MAPAMBO

7th Grade

10 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

KISWAHILI

KISWAHILI

4th - 8th Grade

12 Qs

MAPAMBO

MAPAMBO

Assessment

Quiz

World Languages

7th Grade

Hard

Created by

FARIDA ABASHI

Used 8+ times

FREE Resource

AI

Enhance your content in a minute

Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Herini huvaliwa wapi?

mkononi

shingoni

mguuni

sikioni

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Bwana na Bi harusi huvishana pete kwenye kidole gani?

chanda

gumba

shahada

kidogo

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Taja pambo livaliwalo mkononi.

kidani

keekee

kishaufu

kikuba

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Tundu lililotobolewa chini ya mdomo ili kuvaa pambo huitwaje?

kikero

kikuku

ndonya pia

wanja

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Udongo mwekundu unaopakwa nyweleni kama pambo huitwaje?

hina

kanta

wanja

ngeu

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kikero huvaliwa wapi?

mkononi

puani

uti wa pua

juu ya pua

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Saa huvaliwa kwenye __________

kiwiko

kisugudi

kiganja

kisigino

Create a free account and access millions of resources

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy

Already have an account?