Search Header Logo

MIGOGORO NA AMANI

Authored by Mwalimu Odima

World Languages

12th Grade

Used 1+ times

MIGOGORO NA AMANI
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

15 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

Ipi si aina ya migogoro

Ndani ya mtu

Baina ya watu

Kati ya makabila

Kwenye vikundi

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

20 sec • 1 pt

Mgogoro ----------- watu hutokea kati ya watu wawili au zaidi

3.

MULTIPLE SELECT QUESTION

20 sec • 1 pt

Chagua mbinu zozote za kutatua migogoro

Majadiliano

Upatanisho

Kupendana

Kuketi pamoja

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

10 sec • 1 pt

Nchi ya Ukraine ina mgogoro na nchi ipi?

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

Neno 'kuafikiana' lina maana sawa na neno lipi?

Kukosana

Kutengana

Kukubaliana

Kuendelea

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

Neno 'kusitisha' lina maana sawa na neno lipi?

Kuongeza

Kupunguza

Kukomesha

Kuendeleza

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 sec • 1 pt

Vikwazo ni mbinu mojawapo ya kutatua migogoro

Kweli

Si kweli

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?