
WATU NA KAZI ZAO
Authored by Duncan Andalia
Other
5th - 8th Grade
Used 7+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
10 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
20 sec • 1 pt
Mtu anayewasuka kina mama nywele huitwa
Mhasibu
Mhunzi
Seremala
Msusi
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
20 sec • 1 pt
Anayeendesha garimoshi huitwa
Kandawala
Tarishi
Rubani
Mzegamzega
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
20 sec • 1 pt
Anayetengeneza vyungu huitwa
Tarishi
Mhazigi
Mhadhiri
Mfinyanzi
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
20 sec • 1 pt
Walio kwenye picha ambao ambao wanajenga Kwa matofali wanaita _____
Waganga
Manahodha
Washi
Wakunga
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
20 sec • 1 pt
Anayetunza wanyama wa kupandwa kama vile farasi na punda huitwa _____
Seremala
Kandawala
Rubani
Saisi
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
20 sec • 1 pt
Anayewasaidia mama wajawazito kujifungua huitwa ____
Ngariba
Mkunga
Sogora
Mhasibu
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
20 sec • 1 pt
Anayetunza vitabu maktabani na kuwaazimisha wanaotaka kuvisoma ni _____
Mshenga
Mhunzi
Katibu
Mkutubi
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?