
KISWAHILI AINA ZA MANENO
Authored by Sigfred Mbigoo
World Languages
1st - 2nd Grade
Used 15+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
10 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
NOMINO NI MANENO YANAYOTAJA MAJINA YA WATU ,VITU,MAHALI AU ............
MAJINA
VITU
HALI
DHAHANIA
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
VIVUMISHI NI MANENO YANAYODOKEZA SIFA JUU YA ....................
NOMINO/MAJINA
WATU
DHAHANIA
VITU
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
LIPI KATI YA MANENO YAFUATAYO NI KIVUMISHI KIULIZI ?
WANGAPI
YUPI
WAWILI
YANGU
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
KUNA AINA ,,,,,,,,,,,,,ZA MANENO KATIKA KISWAHILI
TISA
SABA
NANE
KUMI
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
LUGHA NINI ?
MFUMO WA SAUTI
MFUMO WA MAWAZO
MFUMO WA SAUTI ZA NASIBU UNAOKUBALIKA KATIKA MAWASILIANO
MFUMO WA ALAMA ZA NASIBU UNAOKUBALIKA KUWASILIANA
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
MIMI NDIYE MWENYE HILI GARI.NENO NDIYE NI AINA GANI YA MANENO?
KITENZI
KITENZI KISAIDIZI
KITENZI KISHIRIKISHI
KITENZI KIKUU
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
MTOTO MTUNDU AMEANGUKA CHINI.NENO MTUNDU NI AINA GANI YA MANENO?
KIELEZI
KITENZI
KIVUMISHI
KISIFA
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?