
KISWAHILI F1 EVALUATION TEST
Authored by Sigfred Mbigoo
World Languages
2nd Grade
Used 1+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
15 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
Mfano wa nomino ya jumla ni:
Jengo
Jela
Jeshi
Jumba
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo huu ni mfano wa......
Methali
Nahau
Tamathali ya usemi
Kitendawili
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
Inashauriwa kichwa cha insha kisizidi maneno mangapi ?
matatu
moja
matano
sita
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
Kuna insha za ..........
wasifu na za kisanaaa
za kisanaa na zisizo za kisanaa
za wasifu tu
za wasifu na za kisanaa na zisizo za kisanaa
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu.Neno nasibu inamaanisha......
Nasibu jina la mtu aliyeanzisha lugha
ziliibuka kinadharia tu
ziliibuka kutoka mapangoni
ziliibuka kutoka kwa wanyama wa mwituni
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
Katika uandishi wa barua baada ya Anuani ya mwandishi inafuata nini?
salamu
tarehe
mwanzo wa barua
barua yenyewe
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 5 pts
Fasihi ni tawi la sanaa itumiayo .......................ili kufukisha ujumbe kwa hadhira.
njia
usanii
lugha
ubunifu
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?