VIVUMISHI

VIVUMISHI

7th Grade

12 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Miejscownik (l.p.)

Miejscownik (l.p.)

1st Grade - University

8 Qs

SHULE YETU

SHULE YETU

6th - 8th Grade

7 Qs

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

KUDURUSU KWA MTIHANI - A

7th Grade

15 Qs

Huduma mjini

Huduma mjini

6th - 8th Grade

7 Qs

VIVUMISHI

VIVUMISHI

Assessment

Quiz

World Languages

7th Grade

Medium

Created by

josephine owili

Used 19+ times

FREE Resource

12 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 5 pts

Kivumishi ni neno linalotoa maelezo kuhusu ________

kitenzi

nomino

kivumishi

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

20 sec • 5 pts

Tambua vivumishi vya sifa katika sentensi zifuatazo.

1.Chumba changu cha kulala ni kidogo sana.

3.

FILL IN THE BLANK QUESTION

20 sec • 5 pts

2. Mama ameweka mito safi kitandani.

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

20 sec • 5 pts

3. Jana nilinunua tarakilishi nzuri sana.

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

20 sec • 5 pts

4. Wanafunzi wa kiswahili ni werevu .

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

20 sec • 5 pts

5. Baba amekata mti mkubwa uliokua uani.

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 5 pts

Neno gani ni kivumishi?

Tunda

Tanda

tamu

Toa

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?