MAREJELEO YA KISWAHILI

MAREJELEO YA KISWAHILI

7th Grade

15 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Marejeleo-7

Marejeleo-7

4th - 8th Grade

15 Qs

Kiswahili

Kiswahili

7th - 8th Grade

10 Qs

Lugha

Lugha

7th - 8th Grade

15 Qs

MAHAKAMANI

MAHAKAMANI

6th - 10th Grade

10 Qs

HHS Class 6 (vitawe)

HHS Class 6 (vitawe)

6th - 8th Grade

10 Qs

FASIHI - GREDI YA SABA

FASIHI - GREDI YA SABA

7th Grade

10 Qs

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ KISWAHILI DARASA LA 7

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ KISWAHILI DARASA LA 7

7th Grade

10 Qs

Tipos de textos

Tipos de textos

4th - 8th Grade

15 Qs

MAREJELEO YA KISWAHILI

MAREJELEO YA KISWAHILI

Assessment

Quiz

World Languages

7th Grade

Medium

Created by

Yaddah Okillah

Used 6+ times

FREE Resource

15 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 mins • 10 pts

Chagua maelezo sahihi.

Kitenzi kikuu hakina uzito katika sentensi.

Kitenzi kisaidizi hubeba ujumbe mkuu katika sentensi.

Sentensi haiwezi kukamilika ikiwa na kitenzi kisaidizi bila kitenzi kikuu

Kitenzi kukuu husaidia kitenzi kisaidizi kutoa ujumbe kamili katika sentensi

Answer explanation

Kitenzi kikuu hubeba ujumbe wa sentensi. Kitenzi kikuu huweza kutumiwa bila kitenzi kisaidizi.

Kitenzi kisaidizi hakibebi ujumbe mkuu wa sentensi. Hakiwezi kutumiwa bila kitenzi kikuu.

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 10 pts

Ni neno lipi ambalo ni kitenzi katika sentensi hii?

MAFURIKO YALIBOMOA NYUMBA ZA WATU WENGI

Yalibomoa

Wengi

Watu

Mafuriko

Answer explanation

Kitenzi ni neno la Kiswahili ambalo huonyesha kitendo.

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Sentensi zifuatazo zimezingatia hali mbalimbali. Ni ipi inaonyesha hali tegemezi kwa usahihi?

Mbuzi huyu angekuwa mnono angalichinjwa.

Mbuzi huyu asingalikuwa mnono asingechinjwa

Mbuzi huyu asingalikuwa mnono asingalichunjwa

Mbuzi huyu angelikuwa mnono angelichinjwa

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

3 mins • 10 pts

Ni tanzu ya fasihi simulizi ambayo huwa fupi, huimbiwa watoto wachanga, huimbwa na wazazi au walezi na huibua hisia za upendo.

Je tanzu hii huitwa vipi?

5.

MULTIPLE SELECT QUESTION

3 mins • 10 pts

Chagua matumizi mawili ya kikomo kama alama ya kuakifisha.

Hutumiwa kuandika tarehe.

Hutumiwa kuonyesha mwisho wa sentensi

hutumiwa mwanzoni mwa sentensi

Hutumiwa kuonyesha nomino za pekee

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 10 pts

Dondoa nomino ya pekee katika sentensi hii.

Alipofika shuleni, Jembe alimpata mwalimu wake akimsubiri.

Wake

Shuleni

Mwalimu

Jembe

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Wali, ugali ama sima, Viazi, mihogo na chapati. Hivi vyote ni mojawapo ya aina gani ya vyakula?

Protini

Wanga

Vitamini

Madini

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?