Utambulisho wangu

Utambulisho wangu

6th Grade

10 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Penilaian Tema 2 Muatan Bahasa Indonesia

Penilaian Tema 2 Muatan Bahasa Indonesia

6th Grade

15 Qs

CHEMSHABONGO DARASA LA6

CHEMSHABONGO DARASA LA6

6th Grade

10 Qs

Utambulisho wangu

Utambulisho wangu

Assessment

Quiz

World Languages

6th Grade

Medium

Created by

Rebecca Mongina

Used 1+ times

FREE Resource

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Mzazi wako wa kiume anaitwa nani?

baba

mama

mtoto

babu

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Maria anaishi Nyali, Mombasa. Nyali ni_______ na Mombasa ni jiji.

nchi

kijiji

mji

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Mji wa Nairobi uko katika nchi gani?

Tanzania

Marekani

Kenya

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

John alizaliwa katika nchi ya Tanzania. Yeye ni raia wa nchi gani?

Kenya

Burundi

Tanzania

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Rafiki yangu alizaliwa Ujerumani. Yeye anazungumza lugha gani?

Kichina

Kijerumani

6.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

Mama ya baba yako anaitwaje

dada

nyanya

mama

bibi

7.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

Babu na nyanya yako wanakuitaje?

kaka

mjukuu

mwanangu

mtoto

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?

Similar Resources on Wayground