Huduma mjini

Huduma mjini

6th - 8th Grade

7 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

FASIHI - GREDI YA SABA

FASIHI - GREDI YA SABA

7th Grade

10 Qs

LET'S GO

LET'S GO

6th Grade

10 Qs

Mwingiliano wa kijamii (Social interactions)

Mwingiliano wa kijamii (Social interactions)

8th Grade

7 Qs

aina za maneno katika sentensi

aina za maneno katika sentensi

7th Grade

10 Qs

Mwingiliano wa Kijamii

Mwingiliano wa Kijamii

8th Grade

10 Qs

KISWAHILI

KISWAHILI

4th - 8th Grade

12 Qs

Sentensi

Sentensi

5th - 12th Grade

10 Qs

Routine

Routine

7th Grade

8 Qs

Huduma mjini

Huduma mjini

Assessment

Quiz

World Languages

6th - 8th Grade

Medium

Created by

josephine owili

Used 3+ times

FREE Resource

7 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

Gani si mahali mjini.

Soko

Mwalimu

Shule

Benki

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

Tafsiri " maktaba"

supermarket

school

library

zoo

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Nini hufanyika shuleni?

Wanafunzi huuza matunda.

Wanafunzi husonga ugali.

Wanafunzi husoma.

Wanafunzi hutafuta pesa.

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

Kitenzi gani si cha sokoni.

Kununua

kuiba

kuuza

kulala

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Anayetibu wagonjwa ni ..........

muuzaji

daktari

mkulima

mwalimu

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

10 sec • 1 pt

....... anasomesha wanafunzi.

Polisi

daktari

muuzaji

mwalimu

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Samree ameenda ______ kutoa pesa.

shuleni

kwenye benki

shambani

kwenye matatu