Search Header Logo

SIKU YA KUZALIWA

Authored by FLORIDA ANGATIA

Other

1st Grade

Used 1+ times

SIKU YA KUZALIWA
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

habari za asubuhi ?

poa

sawa

sijambo

nzuri sana

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

tuendapo kulala twamsalimu vipi?

habari

shikamoo

lala salama

kwaheri

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

hakuna matata inamaanisha nini?

hakuna shida

hakuna chakula

hakuna watu

hakuna vitu

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

tunasherehekea Yesu kuzaliwa tarehe?

24

23

22

25

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

tunakata nini tukisherehekea siku ya kuzaliwa

ugali

biskuti

keki

wali

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Media Image

watoto hawa wanafanya nini?

wanatembea

wanacheza ngoma

wanalala

wanakula

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Media Image

vazi hili huvaliwa wakati wa?

joto

baridi

jua

kiangazi

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Microsoft

Continue with Microsoft

or continue with

Facebook

Facebook

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?