kiswahili

kiswahili

7th Grade

10 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Ruotsin persoonapronominit

Ruotsin persoonapronominit

6th - 7th Grade

10 Qs

All About Family

All About Family

3rd - 12th Grade

10 Qs

MAREJELEO YA KISWAHILI

MAREJELEO YA KISWAHILI

7th Grade

15 Qs

AINA ZA VIWAKILKISHI

AINA ZA VIWAKILKISHI

7th Grade

15 Qs

KISWAHILI KIULIZI PI?

KISWAHILI KIULIZI PI?

3rd - 9th Grade

15 Qs

ひらがな 2nd 15

ひらがな 2nd 15

KG - 7th Grade

15 Qs

1A Realidades Review

1A Realidades Review

6th - 12th Grade

12 Qs

Lugha

Lugha

7th - 8th Grade

15 Qs

kiswahili

kiswahili

Assessment

Quiz

World Languages

7th Grade

Medium

Created by

Priscillah Kiwia

Used 6+ times

FREE Resource

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

1.Ukubwa wa mbuzi---

KIBUZI

MBUZI

BUZI

JIBUZI

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

2.Mtoto wake ni mzuri...chagua kimilikishi

ni

mtoto

mzuri

wake

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

3.Viumbe katika fasihi huitwa

ploti

wahusika

maudhui

dhamira

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

mtoto anakula akilia,,hii ni sentensi---

sahili

ambatano

tegemezi

hili

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

5.Kikombe hiki ni changu ,kile ni chako..chagua kiwakilishi

kile

chako

changu

hiki

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

6.chagua kitenzi kishirikishi,,,yeye angali anakula wali

anakula

yeye

angali

wali

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

7.Mtiririko wa matukio katika fasihi huitwa...

ploti

dhamira

maudhui

mandhari

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?