KISWAHILI 6

KISWAHILI 6

6th Grade

20 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Sarufi:Aina  za Maneno

Sarufi:Aina za Maneno

5th - 12th Grade

25 Qs

Practice Reading Words with Shadah

Practice Reading Words with Shadah

4th - 7th Grade

20 Qs

Weekend assignment-Kiswahili

Weekend assignment-Kiswahili

5th - 8th Grade

20 Qs

Tayutay

Tayutay

6th Grade

15 Qs

KIS 6

KIS 6

6th Grade

25 Qs

Pang ukol

Pang ukol

1st - 6th Grade

15 Qs

ZOEZI

ZOEZI

6th Grade

20 Qs

KIFARU

KIFARU

KG - 12th Grade

20 Qs

KISWAHILI 6

KISWAHILI 6

Assessment

Quiz

Other

6th Grade

Hard

Created by

DANSON KAMANDE

Used 39+ times

FREE Resource

20 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 5 pts

Tumia kiulizi kifaacho zaidi kujaza pengo katika sentensi ifuatayo.

Ni mafundi___________ wamejenga nyumba hii?

wagani

mangapi

gani

yupi

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 5 pts

Mwema,kizuri,stadi,bingwa,mtiifu,jeusi na mrembo ni vivumishi vya aina gani?

vivumishi viashiria

vivumishi vya idadi

vivumishi vya sifa

vivumishi vimilikishi

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 5 pts

Mchezo unaochezwa na watoto wa kujificha na kutafutana unaitwaje?

kibemasa

santaraji

jugwe

masumbwi

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 5 pts

Andika sentensi ifuatayo kwa wingi.

Kipepeo amengia ndani ya msitu.

Vipepeo vimeingia ndani ya misitu.

vipepeo hawajaingia ndani ya misitu

mapepeo yameingia ndani ya msitu.

vipepeo wameingia ndani ya misitu

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 5 pts

Media Image

Kiungo hiki cha mwili hufanya kazi gani?

kusafisha hewa

kusafisha damu

kusukuma damu

kuhifadhi mkonjo

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 5 pts

Mavazi yanayovaliwa na wachezaji huitwaje?

buibui

sare

bwelasuti

jezi

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 5 pts

Mshororo wa mwisho wa ubeti unaorudiwarudiwa huitwa ___________

vina

mshororo

kibwagizo

ukwapi

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?