Search Header Logo

Kiswahili

Authored by Miriam Wanjiru

Other

8th Grade

Used 2+ times

Kiswahili
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

What is Part of speech in Kiswahili.

Aina ya maneno

Sehemu ya Kiswahili

Sehemu ya Kuzungumza

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 2 pts

(a)   ni maneno yanayotaja majina ya watu, vitu, siku, pahali, au hali.

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 7 pts

Tutaimba ni aina gani ya maneno?

Nomino

Kivumishi

Kitenzi

Kiwakilishi

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 5 pts

Kitenzi "Kata" katika kauli ya kutendana ni nini?

Katiana

Katana

Kataliwa

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 5 pts

Gani kati ya nyakati hizi si sahihi?

Wakati ujao

Hali ya mazoea

Wakati umejao

Wakati uliopo

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni aina gani ya maneno inayotumiwa kuelezea sifa za nomino?

Kivumishi

Kitenzi

Kiwakilishi

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Katika Kiswahili, neno "Kula" ni aina gani ya maneno?

Kivumishi

Kitenzi

Nomino

Kiwakilishi

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?