
NPTI Year 7 Kiswahili C.F.U 2
Authored by Philip Kobia
Other
7th Grade
Used 6+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
15 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 2 pts
Tafsiri ya “Nilisoma kitabu” ni?
I am reading the book.
I read the book.
I will read the book.
I have read the book.
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 2 pts
Tutacheka kwa pamoja.” Hii ni nyakati gani?
Wakati uliopo
Wakati ujao
Hali ya mazoea
Wakati uliopita
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 2 pts
Tafsiri ya “Nitasafiri kesho” ni?
I have traveled tomorrow.
I will travel tomorrow.
I traveled tomorrow.
I travel tomorrow.
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 2 pts
“Wanafunzi wanajifunza kwa bidii.” Hii ni nyakati gani?
Wakati uliopo
Wakati uliopita
Wakati ujao
Hali ya mazoea
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 2 pts
Tafsiri ya “Nilikuwa nyumbani” ni?
I am at home.
I was at home.
I will be at home.
I have been at home.
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 2 pts
Alama ya koma (,) hutumika kutenganisha nini?
Neno moja tu
Vitu kwenye orodha
Kifungu cha neno
Kutenganisha majina
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
2 mins • 2 pts
Alama ya nukta (.) hutumika kwa ajili ya nini?
Kumaliza sentensi
Kutenganisha majina
Kufanya orodha
Kutenganisha maneno
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?