
Maswali ya Kiswahili Gredi ya 7 - EOT2 REVISION
Authored by Nawfal Hassan
Other
7th Grade
Used 1+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
55 questions
Show all answers
1.
OPEN ENDED QUESTION
3 mins • 1 pt
Kwa nini ni muhimu kutumia kikomo mwishoni mwa sentensi? Toa mfano.
Evaluate responses using AI:
OFF
2.
OPEN ENDED QUESTION
3 mins • 1 pt
Tunga sentensi moja kuhusu "usafi wa kibinafsi" kwa kutumia herufi kubwa na kikomo ipasavyo.
Evaluate responses using AI:
OFF
3.
OPEN ENDED QUESTION
3 mins • 1 pt
Taja tofauti kati ya matumizi ya herufi kubwa mwanzoni mwa sentensi na herufi kubwa kwenye majina maalum.
Evaluate responses using AI:
OFF
4.
OPEN ENDED QUESTION
3 mins • 1 pt
Taja sehemu tatu tofauti ambapo herufi kubwa hutumika katika maandiko, kisha andika mifano.
Evaluate responses using AI:
OFF
5.
OPEN ENDED QUESTION
3 mins • 1 pt
Andika aya fupi ya sentensi tatu kuhusu shule yako, ukizingatia matumizi sahihi ya herufi kubwa na kikomo.
Evaluate responses using AI:
OFF
6.
OPEN ENDED QUESTION
3 mins • 1 pt
Taja sehemu tatu tofauti ambapo kikomo kubwa hutumika katika maandiko, kisha andika mifano.
Evaluate responses using AI:
OFF
7.
OPEN ENDED QUESTION
3 mins • 1 pt
Soma sentensi ifuatayo kisha iandike upya kwa kutumia viakifishi ipasavyo: jina langu ni hassan ninaishi Mombasa
Evaluate responses using AI:
OFF
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?