Yohana 8-14

Yohana 8-14

9th - 12th Grade

14 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

words with fatha sign

words with fatha sign

KG - 12th Grade

10 Qs

TAHFIZH AL QURAN

TAHFIZH AL QURAN

7th - 9th Grade

15 Qs

islam ve ibadet

islam ve ibadet

9th Grade

15 Qs

Soalan Pendidikan Islam Tingkatan 1

Soalan Pendidikan Islam Tingkatan 1

7th - 9th Grade

10 Qs

Pengurusan jenazah

Pengurusan jenazah

12th Grade

19 Qs

KATARUNGANG PANLIPUNAN

KATARUNGANG PANLIPUNAN

9th Grade

10 Qs

SKI : Masa Kanak-Kanak Nabi Muhammad Saw.

SKI : Masa Kanak-Kanak Nabi Muhammad Saw.

9th Grade

13 Qs

ulum hadis -hadis riwayah dirayah

ulum hadis -hadis riwayah dirayah

9th Grade

11 Qs

Yohana 8-14

Yohana 8-14

Assessment

Quiz

Religious Studies

9th - 12th Grade

Medium

Created by

Elly Laur

Used 1+ times

FREE Resource

AI

Enhance your content in a minute

Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...

14 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

ni mtu yupi ampendae Yesu?

aliyemwamini Yesu kuwa anatoka kwa Baba

aliyetari kumfuata na kuacha mambo ya dunia kwa ajili yake

yule ashikaye torati na manabii

aliye na amri za Yesu na kuzishika

2.

OPEN ENDED QUESTION

3 mins • 1 pt

Yesu alipojua saa yake imefika, atayotoka katika ulimwengu ali amewapenda watu ulimwengu, aliwapenda upeo . maana ya kutupenda upeo lina maana na uzito gani kwako binafsi ?

Evaluate responses using AI:

OFF

3.

OPEN ENDED QUESTION

3 mins • 1 pt

Kisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifunga. Basi alipokwisha kuwatawadha miguu, na kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena, akawaambia, Je! Mmeelewa na hayo niliyowatendea? Swali hili la Yesu ni kwako?

Evaluate responses using AI:

OFF

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.

Mmoja ya matokeo ya sisi kupendana ni yapi kama alivyosema Bwana??

Watu wote watajua kuwa nyinyi mmekuwa wanafunzi wangu

Baba atawapelekeeni yule Roho wa kweli

Mtakuwa na amani nyingi

Baba atatukuzwa kwa ajili yenu

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Jina la mwanamke aliyempaka Yesu kwa Marhamu yenye thamani nyingi anaitwa nani?

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

[Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda.

Maneno haya yalikuwa utimilifu wa unabii juu ya Yesu wakati anakwenda wapi?

7.

OPEN ENDED QUESTION

3 mins • 1 pt

Yn 12:24-25 SUV

[24] Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi. [25] Yeye aipendaye nafsi yake ataiangamiza; naye aichukiaye nafsi yake katika ulimwengu huu ataisalimisha hata uzima wa milele.

Kama mtu binafsi na muktadha wa Neno la Bwana, unaitajika kifanya nini na ni somo gani unapewa?

Evaluate responses using AI:

OFF

Create a free account and access millions of resources

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy

Already have an account?