wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Bara la afrika

Total questions: 14

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.
Tuna picha gani?
a)
ajira
b)
asali
c)
asili
d)
arusi
2.
Kinywaji gani?
a)
Soda
b)
Chai
c)
Maziwa
d)
Juisi
3.
Unaona nini kwenye barabara?
a)
ajabu
b)
ajali
c)
bendera
d)
baraza
4.
Ina itwa nini kwa kiswahili?
a)
Baraza
b)
Bara
c)
Bendera
d)
Bandari
5.
Mahali hapo wana paita je?
a)
Baridi
b)
Bandia
c)
Bandari
d)
Baraza
6.
Baridi yageuza maji kuwa.........
a)
Chumvi
b)
Baridi 
c)
barafu
d)
bakuli
7.
Ndege hii ina itwa je?
a)
Kuku
b)
Kasuku
c)
Bata
d)
Kunguru
8.
Hii ni........ya afrika.
a)
Inchi
b)
Sehemu
c)
Bara
d)
Kipande
9.
Una ona nini kwenye picha?
a)
Mawe kubwa
b)
Bara
c)
Bahari
d)
Mto
10.
Una ona nini kwenye picha?
a)
Mawe kubwa
b)
Bara
c)
Bahari
d)
Mto
11.
Kikao hicho kina itwa........
a)
Ofisini
b)
Mkutano
c)
Baraza
d)
Kanisa
12.
sehemu hii inafanana namahari penye.......
a)
Mulima kubwa
b)
Bonde kubwa
c)
Nyumba kubwa
d)
Mjii kubwa
13.
Karatasi hio inaitwa..........
a)
Barua
b)
Bahasha
c)
Nyandiko
d)
Karatasi
14.
Watu hawa wana fanyaje?
a)
wanacheza
b)
wanaimba sana
c)
wana abudu
d)
wana kaa