WorksheetsSehemu za mwili
Total questions: 20
Worksheet time: 10mins
Hii ni sehema gani ya mwili?
Nywele
Macho
mikono
Hii ni sehema gani ya mwili?
mikono
Nywele
Miguu
Meno
Hii ni sehema gani ya mwili?
mkono
Nywele
Macho
Masikio
Hizi ni sehema gani za mwili?
Kichwa, Nywele, Miguu na Mikono
Kichwa, Mabega, Magoti na Macho
Kichwa, Mabega, Magoti, Vidole
Hii ni sehemu gani ya mwili?
Pua
Macho
sikio
Kidole
Hii ni sehema gani ya mwili
Kichwa
Nywele
Kidole
Sikio
Hii ni sehemo gani ya mwili?
Nywele
Kichwa
Mdomo
Miguu
Chagua mkono.
Chagua kidole.
Chagua mgongo.
Chagua tumbo
Unatumia mdomo kufanya nini?
kulia
kula
kulala
kucheza
Unatumia ulimi kufanya nini?
kuruka
kuonja
kukimbia
kuandika
Unatumia macho kufanya nini?
kunywa
kuimba
kuona
kusikiliza
Unatumia nini kukimbia?
mikono
mdomo
kichwa
miguu
Unapokula, chakula huenda wapi?
kichwani
miguuni
tumboni
mabegani
Mtu anapolia, machozi hutoka na wapi?
masikioni
mgongoni
machoni
vidoleni
Ni kiungo gani cha ndani ya mwili husukuma damu?
mapafu
moyo
ubongo
figo
Ni sehemu gani ya kichwa hufikiria na kuwaza?
masikio
nywele
ubongo
uso
Ni kiungo cha ndani ya mwili kinachosaidia kupumua (kuvuta pumzi ndani na nje)?
akili
ini
kibofu cha mikojo
mapafu
