WorksheetsVivumishi vya Kumiliki
Total questions: 15
Worksheet time: 8mins
Name
Class
Date
1.
wingi wa mtoto wake ni mtiifu
(a)
2.
umoja wa vijiko vyao vilibebwa na wazee
(a)
3.
wingi wa nguo yangu ina doa kubwa
(a)
4.
wingi wa chombo chako kinatumiwa
(a)
5.
umoja wa miguu ya kuku wenu inauma
(a)
6.
umoja wa vyumba vyao vimeoshwa na wasichana
(a)
7.
wingi wa mtoto wangu asiajiriwe na tajiri yeyote
(a)
8.
wingi wa unyoya wako utapotea
(a)
9.
wingi wa nyumbani pake pana unyasi mrefu
(a)
10.
wingi wa kucheza kwangu kunampendeza
(a)
11.
wingi wa kichongeo chako
(a)
12.
umoja wa penseli zetu
(a)
13.
wingi wa mbwa wako
(a)
14.
umoja wa meza zao
(a)
15.
wingi wa rinda lake
(a)
100 %
