Font size
WorksheetsKiswahili Vielezi
Total questions: 20
Worksheet time: 10mins
Onyesha kielezi:
mgonjwa wa malale alitembea polepole.
(a)
Onyesha kielezi:
gari liliegeshwa barabarani.
(a)
Onyesha kielezi:
mpira utaanza alasiri
(a)
Onyesha kielezi:
mwanafunzi mtiifu aghalabu hufuzu aushi
(a)
Onyesha kielezi:
maembe yamekuwa adimu
(a)
Onyesha kielezi:
paka amelala chini ya kitanda
(a)
Onyesha kielezi:
mwanafunzi mwenyewe ni maridadi
(a)
Onyesha kielezi:
ugonjwa umewaua wengi
(a)
Onyesha kielezi:
sadiki aliondoka jana
(a)
Onyesha kielezi:
mihadarati imevuruga afya
(a)
Onyesha kielezi:
mwalimu wetu hufundisha taratibu
(a)
Onyesha kielezi:
mtumbwi ulizama ziwani
(a)
Onyesha kielezi:
wahalifu walihojiwa mmoja mmoja
(a)
Onyesha kielezi:
mvua imekunya usiku kucha
(a)
Onyesha kielezi:
bondia juhudi alipigana kishujaa
(a)
Onyesha kielezi:
nje ni kweusi tititi
(a)
Onyesha kielezi:
waziri fisi alituzuru mara nyingi
(a)
Onyesha kielezi:
miti ilipandwa mingi
(a)
Onyesha kielezi:
wasafiri walitulia kituoni
(a)
Onyesha kielezi:
mazingira hayafai kuchafuliwa ovyoovyo
(a)
