wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili Vihusishi

Total questions: 25

Worksheet time: 13mins

Name
Class
Date
1.

Wanaishi ________ msitu wa Gabuni.

a)

karibu na

b)

kando na

2.

Juma alipenda kukaa _________ Mbalamwezi.

a)

nyuma na

b)

nyuma ya

3.

Watoto walicheza ___________ nyumba yao.

a)

ndani ya

b)

ndani mwa

4.

Mikate iliwekwa ____________ kabati.

a)

ndani ya

b)

ndani kwa

5.

Upepo uliangusha mti ___________ shamba la minazi.

a)

katika

b)

kwa

6.

Kofia ilianguka _______________ meza.

a)

juu ya

b)

juu kwa

c)

juu pa

7.

Minazi ilijaa __________ mti.

a)

juu ya

b)

katika

c)

juu kwa

8.

Watu walijaa _____________ uwanja wa michezo.

a)

kwenye

b)

ndani mwa

9.

Tunaishi __________ makavazi ya taifa.

a)

karibu ya

b)

karibu na

c)

karibu kwa

10.

Mtoto alilala _____________ mama yake.

a)

kando na

b)

kando ya

c)

kando pa

11.

Panya aliingia __________ shimo.

a)

ndani mwa

b)

ndani kwa

c)

ndani ya

12.

________________ nyumba yetu kuna ua wa miwaridi.

a)

mbele kwa

b)

mbele na

c)

mbele ya

13.

Mpira uliwekwa ___________ uwanja, mchezo ukaanza.

a)

kati ya

b)

katikati ya

c)

katikati mwa

14.

Rununu ilikiriza ____________ mfuko wa mwalimu.

a)

katika

b)

kwa

c)

pa

d)

ya

15.

________________ Ziwakulu kuna shamba la michungwa.

a)

mbali kwa

b)

mbali ya

c)

mbali na

16.

Babu alituomba kuingia ___________ mkahawa ili tusinyewe.

a)

ndani mwa

b)

ndani kwa

c)

ndani kwenye

d)

ndani ya

17.

Njiwa ametua _________ mlingoti wenye bendera.

a)

juu ya

b)

juu kwa

c)

juu penye

d)

juu na

18.

Wawindaji hupenda kuishi _______________ msitu.

a)

karibu kwa

b)

karibu na

c)

karibu kwenye

d)

karibu ya

19.

__________ Ziwa Viktoria hupandwa mpunga.

a)

kando na

b)

kando kwa

c)

kando ya

d)

kando mwa

20.

Shule ya Fungakazi iko kaskazini ___________ mji wa Taswira.

a)

na

b)

kwa

c)

mwa

d)

ya

21.

Chatu mkubwa alionekana ___________ mto hatari.

a)

kwa

b)

kati ya

c)

katika

d)

ndani mwa

22.

Mpira uliwekwa ___________ uwanja tayari kwa mechi kuanza.

a)

katikati ya

b)

katikati kwa

c)

katikati na

d)

katikati kwenye

23.

_______________ nchi ya Sisi watu huishi kwa umoja na ushirikiano.

a)

kwenye

b)

katika

c)

kwa

d)

katika

24.

_____________ waliohudhuria tamasha alikuwamo waziri wa utamaduni.

a)

miongoni ya

b)

pamoja kwa

c)

wengine wa

d)

miongoni mwa

25.

_____________ afya na mali bora kuchagua afya.

a)

mbali na

b)

baina na

c)

kati na

d)

baina ya