WorksheetsKIS 6
Total questions: 25
Worksheet time: 13mins
Name
Class
Date
1.
Ipi si sahihi?
a)
bumba la nyuki
b)
kicha cha noti
c)
kigaro cha askari
d)
kaumu ya watu
2.
Chagua orodha ya vitenzi
a)
uza,oza,chapa,changa
b)
sana,vyema,bivu,laini
c)
mengi,safi,uchu,rangi
d)
hicho,hii,vile,hayo
3.
Kiroboto____alimwuma mtoto____.
a)
chenyewe/mwenye
b)
mwenye/mwenye
c)
mwenyewe/mwenyewe
d)
mwenyewe/mwenye
4.
Nini maana ya:Huyu ana mkono mrefu.
a)
ni mwoga
b)
si mwizi
c)
ana uwezo
d)
ni mnyonge
5.
Wageni waliingia
a)
moja moja
b)
moja kwa mmoja
c)
mmoja moja
d)
mmoja mmoja
6.
Sentensi ipi iliyo na kivumishi?
a)
Yangu imeshonwa vizuri.
b)
Mtoto amelia kidogo.
c)
Magari mawili yamefika.
d)
Amesimama kando ya baraste
7.
Nitaitumia kalamu_____.
a)
zizi hizi
b)
iyo hiyo
c)
zile ile
d)
kiki hiki
8.
Andika kwa umoja:Wanaitumia mishipi yao.
a)
Anaitumia mishipi yake.
b)
Anautumia mshipi wake
c)
Anautumia mshipi wao
d)
Anautumia mshipi wako
9.
Makao ya nyuki ni____.
a)
mzinga
b)
kizimba
c)
kiota
d)
zizi
10.
Nomino dhahania kutokana na kitenzi jenga:
a)
mjenzi
b)
jengo
c)
kujenga
d)
ujenzi
11.
Je,utaenda na_____sokoni?
a)
gani
b)
lini
c)
nani
d)
lipi
12.
Ukienda kwa watu waliofiwa,utawaamkuaje?
a)
makiwa
b)
mwaambaje
c)
poleni
d)
jamani
13.
Kutokana na kitenzi 'jua' tunapata nomino ipi?
a)
elewa
b)
juana
c)
ujuzi
d)
julikana
14.
Alituletea ujumbe_____
a)
huo uo
b)
uo ule
c)
huu huo
d)
uo huo
15.
Sentensi ipi iliyo na kielezi?
a)
Ana vitabu vizuri.
b)
Ana vioo vyake vyema.
c)
Tulicheza vizuri.
d)
Vikombe vyangu ni vyema.
16.
Wingi wa 'Njoo hapa' ni;
a)
Uje hapa
b)
Mjeni hapa.
c)
Waje hapa.
d)
Njooni hapa.
17.
Niliona____cha askari kikipiga kwata kandokando ya____la takataka
a)
kigaro/jaa
b)
kipeto/jaa
c)
kicha/lindi
d)
kigaro/pakacha
18.
Kamilisha Sentensi.Sikujui____alikohamia.
a)
kule
b)
wewe
c)
mle
d)
hapo
19.
Shangazi amefanikiwa kulinunua gari___.
a)
jipya
b)
mpya
c)
lipya
d)
kipya
20.
Mtu akikwambia asante utamjibu:
a)
vyema
b)
hewala
c)
nawe pia
d)
sawa
21.
Kanusha:Wanaenda kusoma leo.
a)
hawaendi kusoma leo.
b)
hawakuenda kusoma leo.
c)
hawataenda kusoma leo.
d)
hatuendi kusoma leo.
22.
Sentensi ipi iliyo na kivumishi cha sifa?
a)
Fatuma alikimbia kasi.
b)
Amebeba kibeti kizuri.
c)
Gari hili ni la jirani.
d)
Ana daftari langu.
23.
Jamii____hutangamana hufaulu.
a)
ambayo
b)
ambao
c)
ambapo
d)
ambaye
24.
Nomino hizi hupatikana katika ngeli ipi?wingu,wazo,umbo
a)
U-ZI
b)
I-ZI
c)
LI-YA
d)
U-YA
25.
Upi ufupisho wa 'mwana wetu'?
a)
mwanaetu
b)
mwanetu
c)
mwanayetu
d)
mwanawetu
100 %
