WorksheetsMarejeleo-7
Total questions: 15
Worksheet time: 15mins
Name
Class
Date
1.
Andika katika hali ya wingi
Mzazi -?
a)
kizazi
b)
vizazi
c)
Wazazi
2.
mzee ____________?
a)
vizee
b)
mzee
c)
wazee
3.
msafiri -------------?
a)
wasafiri
b)
msafiri
c)
visafiri
4.
Mtali -----------------?
a)
watali
b)
vitali
c)
mtali
5.
muuguzi
a)
wauguzi
b)
madaktari
c)
uguzi
6.
mkimbiaji ------------------?
a)
mkimbizi
b)
wakimbiaji
c)
mkimbia
7.
mkulima
a)
kulima
b)
wakulima
c)
mkulimaji
8.
mgeni
a)
wageni
b)
mawageni
c)
geni
9.
msichana
a)
vischana
b)
wasichana
c)
mawaschana
10.
mvulana
a)
vijana
b)
wavijana
c)
wavulana
11.
Hujambo?
a)
sawa
b)
nzuri
c)
sijambo
12.
sabalkheri
a)
Aheri
b)
binuri
c)
sambamba
13.
habari za utokako
a)
njema
b)
vizuri
c)
kwema nashukuru
14.
usiku mwema
a)
wewe pia ,lala salama.
b)
sawa
c)
poa
15.
kwaheri
a)
poa
b)
safi
c)
kwaheri ya kuonana
100 %
